Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Vijana wetu kazini
 

Attachments

  • 1437886576477.jpg
    44 KB · Views: 196
  • 1437886604990.jpg
    30.9 KB · Views: 192
  • 1437886632726.jpg
    44.7 KB · Views: 190
  • 1437886651254.jpg
    56 KB · Views: 187
  • 1437886673051.jpg
    50.1 KB · Views: 189
  • 1437886691611.jpg
    41.2 KB · Views: 184
  • 1437886709933.jpg
    34.9 KB · Views: 192
hahahaha majiran wamenuna ni hataree na bado namsubir spurs maana psg nimeshamfunga.
 
Di Maria akiondoka nitaumia sana,LVG sijui anaijenga timu ya namna gani,Di Maria anapaswa kupewa second chance.
Ili malengo yetu yatimie msimu huu unaokuja....Depth ya squad lazima iwe kubwa ....daah kama jamaa atasepa mimi sitaunga mkono kuondoka kwake..bado namini atashine tu...mpira ni kitu cha ajabu leo hii ameflop si ajabu akaenda PSG akawasaidia Hata kuwapa UCL..
Its my opinion......
 
Di Maria akiondoka nitaumia sana,LVG sijui anaijenga timu ya namna gani,Di Maria anapaswa kupewa second chance.

Ninachokiona hapa dimaria haondoki kwa matakwa ya club ila kuna nguvu ya kwake mwenyewe dimaria kutaka kuondoka kama ilivyo kwa degea
 
Nilikua naangalia replay kumbe walicheza vizuri na darmian ni full back mzuri, sema tanesco wamekata umeme. Inaoneshwa azam TV channel 404
 
Safiii sana vijana wangu hamjaniangusha


Yaani ile timu ya watu wafupi kwa kutuabisha. Ila siku zote kwenye familia lazima atakuwepo mzushi tu, Valencia waliwatuliza Everton, tukawazima City, ila jamaa wakaona watie doa tu, smh!

Ila nakumbuka last pre-season mlituotea kama wao hivyo hivyo, na sisi hatukuwa na timu, only regular alikuwa Bale. Ningependa kuamini mko kwenye reli, na mtaleta changamoto, but i know better. United ni kama kama jamaa anayewekeza sana kwenye fore-play, ila panapo-matter anachemka.

Hahaha, i'm just hating bana. Congrats!

herrera, Papupi what up!!
 

Ngoja nikusamehe tu nipokeee asante yako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…