Ligi ianze mapema tuwe tunaheshimiana mitaani.
Safiii sana vijana wangu hamjaniangusha
Kuna team itapigwa goli 8 msimu ukianza. Tena ipo big 4.
Mchepuko umekuonea huruma usiringe sana...
Ligi ianze mapema tuwe tunaheshimiana mitaani.
Hivi hamjaona dalili za nyakati au hamjakubaliana nazo ? Msimu huu wa 3 nadhani itakuwa ndo mtajua ukweli wa mambo
Kuna team itapigwa goli 8 msimu ukianza. Tena ipo big 4.
Si ile ambayo mkurugenz wake alisema anaweza kusajil mchezaji yoyote yule dunian coz they have £200mil... teh teh
Kuna team itapigwa goli 8 msimu ukianza. Tena ipo big 4.