Atatufaa sana dogo
Kwa iyo de gea anaondoka free
Sidhani huu ni wakati muafaka wa kumuuza Di Maria.
The man ana struggle sana kurudi kwenye kiwango chake, kumuuza sasa hivi ni kama wanamvunja moyo sana.
Apewe misimu mingine ya kucheza ila si kumuuza.
Cc Belo
Kwa iyo de gea anaondoka free
Kwa mtizamo wangu sio vizuri kumuuza Di Maria but kumbuka kabla ya kutua United ilikuwa aende PSG but FFP iliwabana now wako free. Inasemekana tangu wavamiwe na majambazi mke wa Di Maria hayuko comfortable na maisha ya Manchester,na inaonekana LVG hamkubali Sana ndio maana mwishoni alikuwa anampiga benchi usajili wa Depay na Pedro una impact kwenye nafasi ya Di Maria na hadi sasa inaonekana Januzaj na Perreira watabaki. Kama PSG wakilipa at least £45m itakuwa ni deal nzuri kwetu

Kwa hiyo akivamiwa Paris atakimbilia Madrid au Milan ? Najua usalama wa maisha ni muhimu kuliko pesa unayolipwa lakini nadhani Wachezaji(baadhi) wa South America hawakosagi visababu vya kukataa kucheza EPL .
Kwa mtizamo wangu sio vizuri kumuuza Di Maria but kumbuka kabla ya kutua United ilikuwa aende PSG but FFP iliwabana now wako free. Inasemekana tangu wavamiwe na majambazi mke wa Di Maria hayuko comfortable na maisha ya Manchester,na inaonekana LVG hamkubali Sana ndio maana mwishoni alikuwa anampiga benchi usajili wa Depay na Pedro una impact kwenye nafasi ya Di Maria na hadi sasa inaonekana Januzaj na Perreira watabaki. Kama PSG wakilipa at least £45m itakuwa ni deal nzuri kwetu
Sidhani huu ni wakati muafaka wa kumuuza Di Maria.
The man ana struggle sana kurudi kwenye kiwango chake, kumuuza sasa hivi ni kama wanamvunja moyo sana.
Apewe misimu mingine ya kucheza ila si kumuuza.
Cc Belo
Kwa kweli mimi siamini katika hilo la kusema kuwa ati hayuko comfortable na maisha ya Manchester baada ya kuvamiwa!
Labda kama kuna lingine. Ila hiyo sioni kama ndiyo sababu. Pengine hii inatengenezwa na anti-Man United media.
Haya ni mawazo yangu tu.
Heti jezi za adidasi zinaanza kiuvaliwa lini?
Mkataba wa Adidas unaanza mwezi August
Kama unafuatilia EPL ile ya timu B basi utamuelewaPereira ana future nzuri sana kuliko hata januzaj nilimuona kwenye world cup ya watoto cha muhimu apewe nafasi.
Mkataba wa adidas mpaka mwezi August....Heti jezi za adidasi zinaanza kiuvaliwa lini?