Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Asanteeeee!!! Nipe Utabiri wako nauingiza sasahivi kwenye Hansard. ....
City tunampga baby vibaya!
Asanteeeee!!! Nipe Utabiri wako nauingiza sasahivi kwenye Hansard. ....
City tunampga baby vibaya!
Usiniite jina hilo bana mimi naitwa bebi........huku nikutamu ndo maana kunakimbia.....ubingwa jadi yetu bby umesahau? Trophies Zenu 5 ndizo za Rooney....lol
Nimeshasave.....
Goodoooo!
Yani Yule Pellegrino ni Mteja wetu tu km LvG
utafukuzisha watu humu ndani wew, hayo mambo mengine iwe siri yako, eti Rooney na Chelsea ni nini?
Mimi na wewe tutachonga vizuri Dec 28 tutaelewana tu.....
shikamoo tanesco, byeeeeeee
Naanzia wapi bby? Kwako OT au darajani?
Alafu unataka tena baba Mourinho ampange Zouma au aache?
Salama chifu...habari za kwako?
Nzuri kabisa kaka!
Naona mnamatumaini makubwa sn msimu huu baada ya kufanya usajili kidogo.
cute b, evelenk mnaonaje katika kipindi hiki cha preseason tukitengeneza timu yetu ya watu 3 tukacheza mchezo mpya ulitwao Maulidi Kitenge ?
Ndo upi huo embu nipe ufafanuzi kidogo.