Nasikia van gaal amesema hato sajili centre forward mwingine.
Mashabiki wa man u mnakazi sana msimu unaokuja.
umemsikia nani? mi nilimsikia yeye anasema anahitaji kuongezea sehemu mbili ila hajataja ni sehemu gani?
Jana MUTV nilimsikia akisema bado kuna surprise mbili ya usajili moja ikiwa ni striker.
Jana jioni kupitia East African radio wamesema kuwa jamaa kasema hatosajili,
Sasa labda msela hapo juu kasikiliza EAR. Pia najiuliza, Hawa jamaa hizi taarifa wanazitoaga wapi?
Usinichalimie wewe unataka kuninyima nini jamani!!! cute b nahisi kabebwa na mafuriko ya Eid maana toka ijumaa sijamtia machoni kabisa. Uko pouwa Lakin my rent boy?
Mamy nipo sema ujue nini uzi ulivamiwa na watu wasababishi wa ban nikakimbia zangu nikazima na simu
Usinichalimie wewe unataka kuninyima nini jamani!!! cute b nahisi kabebwa na mafuriko ya Eid maana toka ijumaa sijamtia machoni kabisa. Uko pouwa Lakin my rent boy?
Bhanaa mimi ndo hujamimichi? Mimi mzima mkuu ... wew hujambo?
WAKUU HABARI ZENU HUMU NDANI
Nafurahi kujiunga rasmi na uzi huu wa mojawapo yatimu kongwe na bora kabisa nchini Uingereza, Ulaya na Duniani kote.
Natarajia kutoa mchango wangu chanya ktk kuendeleza familia ya Manchester United..
GGMU

Mi Niko pouwa kabisa Bi mkubwa! Naona siku hizi haka kathread kenu kana kimbia kweli! Mmeanza mpk kutangaza ubingwa kwa usajili mliofanya!
Msimu uliopita hamkusajili ndio maana hamkua mabingwa?
Wewe mwenyewe nichikumichi? Haiwezekani!
Aya hizo hang over za Eid na zikutoke maana kwa kupombeka wewe ni hatari!
Aisee!!! Bora ulikimbia maana huchelewagi kurusha makombora ila mimi siku ile nilijitoa muhanga lolote na liwe...lol
Mi Niko pouwa kabisa Bi mkubwa!Naona siku hizi haka kathread kenu kana kimbia kweli! Mmeanza mpk kutangaza ubingwa kwa usajili mliofanya!
Msimu uliopita hamkusajili ndio maana hamkua
LVG will end up being sacked, trust me.Now I know why he was sacked everywhere he went,he is too cocky.