Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Asante sana,Hii kama watabisha tena basi tena ni kuwapiga magoli tu ndo watatuelewa.

Dada everlenk kuna hawa jamaa wanaitwa Manchester City ni balaa...nahisi Serikali ya Uingereza huwa inapeleka msaada wa Chakula na huduma za kijamii

Ni kambi ya wazee aisee


Picture5.jpg
 
Nilitarajia tupate mabao mengi jana during our USA tour with all these new signings. 1-0 katika dakika ya tano hainiridhishi. Immediately after the game LVG amesema Chicharito atarudi from loan this season.
 
Tutakutana EPL

Kama unajua hilo kinachokupakachua hapa ni kitu gani mkuu?

Yaani mtu mzima unajaji mechi za maandalizi ya msimu? Mechi wenyewe ndo ya kwanza, Ingeingia akilini kidogo kama mechi zenyewe zingekuwa za naandalizi ya msimu zinazohusisha vikombe. Hapo ungeleeweka kidogo.. Sasa we kiumbe umejidamka asubuhi kuja kushambulia timu za watu hapa..!!

Hivi wewe ni team Asenane nini?

BACK TANGANYIKA
 
Enz za furgerson mlikua mnafungwa lakini alianza msimu na kumaliza msimu akichukua ubingwa na timu mbovu ambayo hakufikiria new signings.... Aliweza kumove mountains na kikosi kidogo ambacho kilidhihirisha sifa ya man u kua ni wachezaji wasio kata tamaa lakini sasa imekua ilikuaga simply becoz bench la ufund limefariki dunia

Hata Arsenal walikuwa Invincible, leo wapo wapi?
Ushawahi kuiona AC Milan ya Ricardo Kaka & Clarence Seedorf? Leo wapo wapi?
 
Kuwakumbusha tu mashabiki wa Liverpool na Chelsea, kikosi cha Manchester United kinatarajiwa kuwa kama ifuatavyo: 1.De Gea 2.Darmian/Valencia 3.Shaw/Blind 4.Rojo 5.Otamendi/Jones 6.Schneiderlin/Carrick 7.Mata/Di Maria 8.Herrera/Schweinsteiger 9.Rooney/Lacazzeti 10.Pereira 11.Depay/Young.



bado kuna watu watabisha...
 
1. Louis van Gaal says D_deGea was
left out of ManUtd 's win over Club
America due to injury:
2. Manchester United mull over
joining Chelsea in chase for £22m
Barcelona star Pedro, Pedro to Manchester United looks
like it's come straight from the
tongue of a certain Edward
Woodward.
3. Benitez: "De Gea is a player at
another team and I should not talk
about him."
4. Ajax seem resigned to losing Jasper
Cillessen to Manchester United:
5. SKY Italia reporting that Sergio
Romero is getting closer to
Manchester United move. reporting that Sergio
Romero could go to Seattle in the
next few hours to undergo his Man
United medical.
6. Victor Valdes has offers from MLS,
he is heading to Seattle with
Manchester United for their US tour
(Di Marzio)
7. EcoDiario | Both Cristiano and
Ramos remain angry over the
sacking of Ancelotti and letting
Casillas leave.
 
hahahahaha ............ mdada nakuona umefurahii sana kwa ushindi wa pre-season, hongereni kwa kushinda goli la offside.

Aiseee!!! Kweli unaipenda Man U asubuhi yote ile uliamka na ukaicheki mechi na ukajua ni offside.....big up!!! Hata tungefungwa ni kawaida katika michezo.
 
Aiseee!!! Kweli unaipenda Man U asubuhi yote ile uliamka na ukaicheki mechi na ukajua ni offside.....big up!!! Hata tungefungwa ni kawaida katika michezo.

nimeona marudio ya goli!' nijikute tu nimeamka kuangalia vibabu,siwezi nikaacha usingizi wangu, kuangalia vibabu ........... yaani kwa mchezo ule hata top 5 cjui kama mtakwemo.
 
Aiseee!!! Kweli unaipenda Man U asubuhi yote ile uliamka na ukaicheki mechi na ukajua ni offside.....big up!!! Hata tungefungwa ni kawaida katika michezo.
Umeona eenh!!?? Kufungwa ni moja ya matokeo, sijui kwanini huyu ikawa vice versa!!! PNC 1 na jackline1 1437212640354.jpg
 
Last edited by a moderator:
nimeona marudio ya goli!' nijikute tu nimeamka kuangalia vibabu,siwezi nikaacha usingizi wangu, kuangalia vibabu ........... yaani kwa mchezo ule hata top 5 cjui kama mtakwemo.

Timu yako inashikilia nafasi ya ya ngapi kwenye vibabu?.....
 

Attachments

  • 1437214548918.jpg
    1437214548918.jpg
    119.5 KB · Views: 91
  • 1437214571342.jpg
    1437214571342.jpg
    68.9 KB · Views: 83
  • 1437214590648.jpg
    1437214590648.jpg
    56.9 KB · Views: 78
  • 1437214609238.jpg
    1437214609238.jpg
    65.2 KB · Views: 81
  • 1437214631078.jpg
    1437214631078.jpg
    65.2 KB · Views: 86
  • 1437214651868.jpg
    1437214651868.jpg
    60.6 KB · Views: 93
  • 1437214676169.jpg
    1437214676169.jpg
    38.7 KB · Views: 85
  • 1437214698839.jpg
    1437214698839.jpg
    99.8 KB · Views: 82
  • 1437214748839.jpg
    1437214748839.jpg
    67.2 KB · Views: 81
  • 1437214785658.jpg
    1437214785658.jpg
    123.6 KB · Views: 78
Back
Top Bottom