RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,807
- 129,666
Last season tulifunga mengi sana mkasema mechi za pre-season hazina maana....Leo wameshinda moja unataka ku-judge timu kwa hio mechi moja ya pre-season..
Thanks #Schneiderlin . Amenifanya nmeamka na tabasamu panaaaa, +weekend +sikukuu..
Hahahahhaaaaa
Kuna wale wanasema Man U a wazee
Lakini wameshinda bhana

Hii ngoja niwapeleke kule kwao sio hapa ..Kuna wale wanasema Man U a wazee
Hii ngoja niwapeleke kule kwao sio hapa ..
Tutakutana EPL
Mbona unatumia nafsi ya pili wingi badala ya nafsi ya kwanza mkuu? Si umesema we ni shabiki wa man utd!??
Last season imeshapita. Juzi hapa tu baada ya usajili wa Schneider na Schwein kuna mmoja wenu alisema hiyo sentensi saivi magoli mengi mtafunga...ndo nilikuwa nasubiria kuyaona
Jamaa wanatutaniaga tu lakini hawajafanya analysis na kujua kuwa sote age average ni 25yrs
Though wanatuzidi kwa idadi ya vizee
View attachment 269013 View attachment 269014
Cathode Rays hiyo data umeitoa wapi??!