Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu, niko kwa sebule hapa na Azam tv chanell 404 .lakini siioni hiyo gem badala yake namuona Diego forlan tu na wajapani wake hapa, nipe maujanja jinsi gani naweza kuiona timu yetu?

mkuu mi na stream ila sijui jinsi ya kuweka link hapa, kama kuna anaeweza kunielekeza jinsi ya kuweka link
 
Rooooney...shuti linapita nje kidogo ya mlingoti wa goli
 
mkuu mi na stream ila sijui jinsi ya kuweka link hapa, kama kuna anaeweza kunielekeza jinsi ya kuweka link
Unatumia simu au PC??? ni easy tu mkuu unacopy link yote juu pale kwenye adress bar na kupaste sehemu unapoandika post/comment
 
Nangoja kipindi ya pili ianze niicheki youtube daah na vimb vyangu 180
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…