Ni vema sana kumpata Bastian Schweinsteiger ila pia ni muhimu kumsajili Morgan Schneiderlin kwani kiumri ni mdogo na atatufaa kwa muda mrefu zaidi. Bastian ni short term replacement ya Carrick lakini tukimpata pia Morgan atakuwa ni long term replaement ya wote Bastian na Carrick