Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tofauti tuliwanunua wakiwa damu mbichi sio kama Bastian. Btw kwa nini mmemtosa RVP then mkanunua mdogo wake lol? Nyie jamaa hamna uvumilivu wala nini,mfano kina Nakapanya wameshachoka.

Cech na Flamini ni vijana? Kuna watu kama Alonso,Xavi,Pirlo,Scholes hawa hata miaka 50 wanacheza soka bila,wasiwasi Nakapanya ana personal beef na LVG,alitaka tumuache Moyes

Kwa kumbukumbu SAF aliwahi kuwasajili wazee kama Laurent Blanc,Henrik Larsson na Edwin Van de Sar
 
Last edited by a moderator:
Tofauti tuliwanunua wakiwa damu mbichi sio kama Bastian. Btw kwa nini mmemtosa RVP then mkanunua mdogo wake lol? Nyie jamaa hamna uvumilivu wala nini,mfano kina Nakapanya wameshachoka.

huyo Nakapanya sio shabiki ashangilie timu nyingine sio lazima man united. msimu ndo mtaona mafanikioa ya man united
 
Last edited by a moderator:
Petr Cech ni kipa umri wake haujalishi sana ndio maana sijawacheka mlivyomsaini Valdes, isitoshe Van Der Sar alihamia United akiwa 34yrs.

hvi kipa sio mchezaji? flamini alivorudi tena Emirates alikua na umri gani vile?
 
Kaka/dada Nakapanya angalia watakufukuza toka katika timu kama alivyofanyiwa Zitto Kabwe sababu una mawazo, maono ya kizazi hiki na kijacho wao bado wapo miaka ya 47
 
hvi kipa sio mchezaji? flamini alivorudi tena Emirates alikua na umri gani vile?

Kipa ni mchezaji tofauti yeye hakimbii kimbii 90% katika mechi kama wachezaji wengine inaweza kuwa sababu ya kutozeeka upesi kimpira kama wachezaji wengine, mfano Gigi Buffon bado anadai miaka 37 sasa hivi. Flamini alirudi akiwa na miaka 28 kama sikosei.
 
Oooh!!!afadhali naona umekuja mpya kabisaaa, mi naomba zawadi tu ulizoleta....lol

Ndio mamy nimekuja mpya adi sura imebadilika...
Zawadi ni jeziii nitampa Ntuzu akuletee maana tupo majirani
 
Last edited by a moderator:
huyo Nakapanya sio shabiki ashangilie timu nyingine sio lazima man united. msimu ndo mtaona mafanikioa ya man united

Hakuna kitu huwa kinaniboa kama mtu kukimbilia maneno ya "huyo si mshabiki", toa hoja,mshabiki ana sifa gan?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…