LVG anahitaji muda hasa kwa kikosi kilichokuwa kinahitaji a total overhaul.
Tunampa msimu huu na ujao utaona mambo.
Msimu ulioisha tumeona mambo aliyoyafanya na makosa anayotakiwa kuyarekebisha. Tunahitaji mmaliziaji, holding midfield na centre back.
Kwa ule mpira bila kuwa na hawa wachezaji basi hakuna kitu.
Ahsante kwa kupata wa kuungana na mimi katika maono yangu juu ya LVG,mara nyingi nimesema na nitaendelea kusema until LVG proves me wrong.MAN UTD HAIWEZI KUFANIKIWA KWA LOLOTE LILE CHINI YA HUYU BWANA LVG
EPL ni ligi yenye ushindani makocha wengi wanapata shida hata LVG alikuwa analazimisha 3-5-2 baadae akagundua hii haiwezi kufanya kazi.Msimu uliopita tulifanya makosa mengi ya kijinga kwenye defence (Rafael,Valencia,Evans,Smalling) lakini timu ilikuwa inamprove siku zilivyokwenda,kocha inabidi atengeneza mfumo wa kumtumia Di Maria vizuri i hope akitumika vizuri atatusaidia sana
On serious note. Watani naona majira haya ya usajili mnaongelea juu ya kipa, midfielders na mabeki lakini mnasahau kwamba mna established one striker (Rooney )ktk list yenu. Falcao ndivyo hivyo tena kajiunga na rentboys, RVP yupo njiani kwenda Uturuki. Bila Stiker wa ziada mtapata shida kuchallenge top honors msimu huu endapo Rooney akiumia au kutokuwa katika form. Striker gani anayekuja kwenu msimu huu?

Baadhi ya washabiki wa mpira bana. Mwaka jana muda kama huu mlikuwa mnasema LVG atawarudisha ktk anga ya mafanikio sababu ana pedigree ya mafanikio tofauti na ilivyokuwa kwa Moyes. Leo mnasema vyingine. Naona muda si mrefu mtakuwa kama baadhi ya wapenzi wa Arsenal wanaopigaga domo la "Wenger out "kila tunapofungwa.
Afadhali wewe una muono huo. Kuna baadhi ya wapenzi wa soka siku hizi hawana subira wala nini. Wanadhani timu imwagapo pesa nyingi katika usajili inakuwa ni guarantee ya kupata immediate success. Pia inaelekea walidhani mtakuwa kama ilivyokuwa enzi za SAF. Hii msahau, itawachukuwa miaka kadhaa kupata kocha atakayemkaribia SAF kimafanikio (in and out of field), hii sio kwenu tu hata Arsenal Wenger akiondoka tutapata shida ku-maintain status tuliyonayo. Washabiki wa siku hizi tunahitajika kuangalia mpira kwa mapana na marefu.
Ahsante kwa kupata wa kuungana na mimi katika maono yangu juu ya LVG,mara nyingi nimesema na nitaendelea kusema until LVG proves me wrong.MAN UTD HAIWEZI KUFANIKIWA KWA LOLOTE LILE CHINI YA HUYU BWANA LVG
Sijawahi kuwa shabiki wa LVG, na hata sasa bado sijamkubali mpaka atakoniprove wrong,LVG hafai kuwa pale Utd
Mfarisayo united damu, where have you been my brother??
Sijawahi kuwa shabiki wa LVG, na hata sasa bado sijamkubali mpaka atakoniprove wrong,LVG hafai kuwa pale Utd
hata Azam hawawezi sajili huo mtego.
hivi hamna timu imeonesha interest kwake?
If he leaves he leaves, I just don't wantIker Casillas' move to Porto has reportedly hit a snag as Real Madridcannot agree on a compensation package with the keeper.
According to Marca, the player has agreed personal terms with Porto but he wants to be paid in gross, not net, the two years left on his contract with the Spanish club.
Real are refusing to budge and it is reported that talks are breaking down and Casillas could now turn up for training today.
If Casillas ends up staying that could have a knock-on effect on the potential signing of David de Gea...
Bastian Schweinsteiger and ThomasManchester United will step up their bid to sign Thomas Muller from Bayern Munich in a £60m deal after agreeing to sell Robin van Persie to Fenerbahce- according to newspapers.
Darmian to become the first Torino
Matteo Darmian has been photographed about to get on a plane heading to Manchester.
The Torino full-back will have his medical today ahead of his £12.9m move.
We'll bring you all the latest news here as it happens.