pole ndugu yaani, kwahyo unamkompea Woodward na akina combe, FSG was liver?? Woodward alive mleta di maria kwa ada ya kuvunja British record, aliemleta falcao anmfananisha na yule alive waleta akina baloteli na lambert, we ni mpnz wa man u? huwa unafuatilia press conference za van gaal? naomba itafute press conference ya mwisho wa msimu usikie alichokisema, tatzo story za vijiweni zinatia watu pressure, wakati ndio kwaanza dirisha LA usajili limefunguliwa leo
Bado 2 months mkuu, ndo kwanza dirisha limefunguliwa rasmi..
Apparently atleti wants gaitan to replace
Turan.
What's the bet that tomorrow's headline
would be 'gaitan rejects United to join
atleti to replace Turan who had earlier
rejected United himself'
Edit - they would add at the end of the
article 'ps - shaqiri rejects them
Zilikuwa tetesi tu kumbe aji wala nini
Nyiye hadi mnatia huruma.. one cater unafananisha United na Loserfools katika usajili?!? Huyu mwingine anakejeli usajili wa Depay!!
Kuna uwezekano mkubwa nyiye mnasikiliza stori za vijiweni. Mnajipa presha bure tu..
Ningewashauri tu, angalau msome na kupata taarifa toka Sky Sports; hawa wanaweza kuwa na taarifa za uhakika kiasi kikubwa.
Jambo la mwisho sasa ndipo kipindi cha rumour mills kufanya kazi na kuuza habari kwenye hard print, na kupata followers wengi kwenye social media. Hivyo hizo haziepukiki, ukizingatia United ni moja ya timu tatu kubwa zaidi duniani, na yenye mashabiki wengi kuliko timu yoyote duniani.
Relax lads....
Nyiye hadi mnatia huruma.. one cater unafananisha United na Loserfools katika usajili?!? Huyu mwingine anakejeli usajili wa Depay!!
Kuna uwezekano mkubwa nyiye mnasikiliza stori za vijiweni. Mnajipa presha bure tu..
Ningewashauri tu, angalau msome na kupata taarifa toka Sky Sports; hawa wanaweza kuwa na taarifa za uhakika kiasi kikubwa.
Jambo la mwisho sasa ndipo kipindi cha rumour mills kufanya kazi na kuuza habari kwenye hard print, na kupata followers wengi kwenye social media. Hivyo hizo haziepukiki, ukizingatia United ni moja ya timu tatu kubwa zaidi duniani, na yenye mashabiki wengi kuliko timu yoyote duniani.
Relax lads....
Ndugu yangu hapa siyo suala la kufuatilia ama laa....umesema hawa mazombie waliwaleta Falcao,Dimaria kwa ada ya kuvunja rekodi sasa hebu niambie huyo Falcao na Di maria wamefanya nini?hao sawa na Baloteli uliyemtaja.Dirisha linafunguliwa leo sawa,Hata mwaka jana ilikuwa hivyohivyo wakaja kutuletea magarasa siku ya deadline.Kuhusu LVG alisemaje unaweza kunikumbusha coz Zombie yule kaongea mengi tu.
Biashara ya mpira sio kama biashara ya nyanya mkuu.Ili mchezaji asajiliwe lazima pande tatu zikubaliane (Timu anayotoka mchezaji,timu anayoenda na mchezaji mwenyewe ),Falcao & Di Maria umesema magarasa so unataka United wamsajili CR7,Messi,Aguero au Iniesta? Hadi sasa Chelsea,ManCity,Real Madrid,Bayern hawajasajili wachezaji yeyote.Loserpool last season walisajili hivyo hivyo but walitoka nafasi ya 2 hadi ya 5 while United walitoka no 7 hadi 4,hebu pita kwenye jukwaa la Liverpool uone wenyewe wanavyolalamika pamoja na kusajili wachezaji 6 hadi sasa
[h=1]Van Gaal's final post-match interview[/h]QUESTION: What was the problem with Angel Di Maria who went off injured?
ANSWER: I cannot say [for sure], but I believe he felt something in his hamstring, so he didnt want to take the risk to continue. I think that is smart, its intelligent [from him], but I dont think its very heavy we will have to wait and see
QUESTION: Are you expecting your holiday to be busy this year, with ins and outs in the transfer market?
ANSWER: Yes, of course, I go on holiday but I have contact with Ed Woodward every day as he is doing the negotiations. We know now who has to go and which players we want to bring in, but that is a process, so you never know. These things are dependable on different parties - the club, the player and Manchester United of course. It shall be a heavy [busy] holiday! [Smiles
[h=1]Louis van Gaal wants to sign deep-lying midfielder for Manchester United[/h]Asked if that is his priority signing this summer, van Gaal confirmed: No.6 is a key player, yes. I have more key roles the no.6 is just one of those key roles. You have seen this season, for example, because Michael Carrick is injured and I don't have another, I have to play with Ander Herrera there. He did it very well, but it is not his speciality.
I have played Wayne Rooney there also, but it is not his favoured position. I had to do this because I don't have another right-footed holding midfielder like Carrick. That is why it is a key role, but I cannot discuss other positions because then I show too much.
Van Gaal has reiterated his desire to complete Uniteds business long before the window closes on 31 August. In fact, the manager is keen for that deadline to be brought forward to before the Barclays Premier League season begins.
It is always ending on 31 August, which, in my opinion, is ridiculous, van Gaal says. I have many times strived to change the transfer window because it has to be out of the competition. You have to be finished before your prepare your team for the season.
Last year we had the World Cup and a lot of players came in later. We made a lot of purchases at the last moment, on 31 August, so we had to prepare our team in the Premier League and that cost us a lot of points. That's the difference with other teams. I hope we shall finish that much earlier.
Taifa stars ni ubao wa kujifunzia kuandika. Waganda wataondoka na points 3 afu homeboy atakuja na porojo zakeKunapooza ligi ikiwa hamna.... ila nasikia unakwenda Uganda kuipa tafu timu ya taifa ya "Homeboy" wako
Chelsea still havent signed FalcaoYan ndugu yangu ulichoandika mpaka nimejikuta nimebaki mdomo wazi,yan Bro kweli kabisa ulidhamiria kuandika hiki ulichoandika?hivi unataka kufananisha ubovu wa Man Utd na Barcelona,Madrid,Bayern etc?haya hao mfano wamemsajili Douglas Costa,na hapo ujue wana kikosi imara mara kumi ya Man Utd.Kalaghabaho
Hata mwaka jana tulirelax na mwisho wa siku chaliii.....hao skysports unaosema ndiyo source yangu ya kwanza kwa habariza michezo lakni hawana tofauti na wengine,rumours nyingi uhalisia sifuri.All in all labda nikuulize Nzi;pre-season madhumuni yake ni nini?hivi ukisajili mapema halafu hao uliowasajili ukaenda kuwapa uzoefu na kuzoeana kwenye timu during pre-season kuna ubaya?
Pia tusidanganyane humu,hakuna ambaye hafuatilii hizi transfer rumours,kwa mpenda michezo kila kukicha kwa kipindi kama hiki lazima apitie media tofauti kuangalia kimeandikwa nini juu ya mambo ya usajili na tetesi za uhamisho
Kaka ata ao skysports sasa ivi nimeanza kuwa na mashaka nao, sometym wanakujaga na umbea umbea kama wa Goal. Com, deal sasa ivi ni kuona mchezaji kasimama kwenye vitofali vyekundu basi ndo tuamini..
mchezaji mkal messi peke yake na wazue wengine wa fcbarcelona hao wengine magarasa tuHata usiumie mkuu tetesi zote ni media zaidi wanazirusha kila mchezaji mkali wanajaribu kumuhusisha na MU ,tutulie tu tutaona kina nani ambao watasajiliwa na si kusikiliza tetesi za media....
De gea kashamalizana na madrid muda si ata tangazwa rasmi kama mchezaji wa madrd..so usitegemee kumuona jumatatu man u wakianza mazoezi...
Gundogan signs new Dortmund contract