Hongereni sana Rojo na Di Maria kwa kazi nzuri mliyoifanya pale Chile, mliltangaza vyema jina la Manchester United pale Latin America na kwa ulimwengu mzima wanaofatilia mashindano yale.......katika magoli 6 yaliyopatikana na kuwapeleka fainali 3 yalitoka MU......big up, am proud of you!!!!!!........mrudi salama na mng'are msimu huu mpya . ....