Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
We Ab-Tichaz na mwenzako Peasant mlikuwa wapi wakati mnachezea kichapo kutoka wa dippers? anyhow kwa jinsi tulivyocheza leo tulideserve kufungwa 3-0 lakini kwa kuwa we are Manchester United we never die and I am happy with the point and kudos kwa timu kwa fighting spirit in the last 10 minutes only if we played like that throughout the game.
round ya kwanza very boring! Come on Haye!!
Alooo, mbona unashabikia boxing katika ukumbi wa wenyewe?...Watakudai wakikupata...:smile-big:
Mtani nilianza kuangalia mechi kipindi cha pili, jamaa wakanitibua nikabadirisha channel kurudi nikakuta tuko nyuma 2-0 nikawa nimekata tamaa. Ila kumbe jamaa walikuwa na ideas nyingine...khaaa!!!..na weye mtani wangu leo ulikua wapi hii gemu yote?...Manda peke yake ndiye alikua hapa jamvini tukimpiga tafu maana alikua keshaanza kuwatusi wachezaji wa Man U... wengine m'mejitokeza baada ya gemu kuishia draw...tumbo joto!!!...LOL!
..afu pia una kauzalendo flani...eti 'we never die'....mmmhhh???
Leo mumeponea sio siri. Kuna goli mbili za wazi jamaa wamepiga mwamba...ndo hapo nilitaka kuamini mna kamati ya ufundi
kutoka sumbawanga.
Sijasema mmebebwa, nilichouliza ni kwanini refa hakumpa kadi Vidic lakini akampa kadi Young kwa kosa linalofanana?! Labda wewe unaweza kueleza ni kwanini?
Panic button hiyo khe khe khe ... .... ..... hamkubebwa, mkibebwa huwa tunasema. Villa walifanya makosa walimwacha Nani free walipofanya sub zao na lile toto tundu mnaliita macheda lina shoot utafikiri halijaona mpira kama miezi saba hivi. mmeponea chupu chupu.
Hao Chelsick tumewaacha siku hizi kwa matusi ndio wenyewe yaani wakifunga tabu wakifungwa tabu tafrani tupu. Nimewaweka kolokoloni siku hizi wala siwaoni.
Acha ushabiki kama umeangalia game yule refa alikuwa anawabeba sana Vila NANI kachezewa rafu mbili za hatari but refa hajatoa kadi,Mkuu kwani hujui kwamba Fergie ndio mtume wa makocha na marefarii wote wale wazawa wa Kingdom? kuanzia akina Big Sam, Hodgson, Holloway,Bruce etc, marefa Clattenburg, Halsey,Mike Dean etc wote hawa wanamlamba nyayo Fergie.
Angalia leo Wes Brown kwenye ile penalti alitakiwa apewe kadi nyekundu kwa vile ni mtu wa mwisho, Vidic naye alikuwa aende nje kwa 2nd yellow card kwa kushangilia na wapenzi lakini Mike Dean aliogopa kumpeleka nje mchezaji yoyote yule wa Utd kwa kumhofia Sir Alex.
..khaaa!!!..na weye mtani wangu leo ulikua wapi hii gemu yote?...Manda peke yake ndiye alikua hapa jamvini tukimpiga tafu maana alikua keshaanza kuwatusi wachezaji wa Man U... wengine m'mejitokeza baada ya gemu kuishia draw...tumbo joto!!!...LOL!
..afu pia una kauzalendo flani...eti 'we never die'....mmmhhh???
Leo mumeponea sio siri. Kuna goli mbili za wazi jamaa wamepiga mwamba...ndo hapo nilitaka kuamini mna kamati ya ufundi
kutoka sumbawanga.
Umeongea ukweli,hata Ji sung Park,sitetei 7bu ya Man UtdAcha ushabiki kama umeangalia game yule refa alikuwa anawabeba sana Vila NANI kachezewa rafu mbili za hatari but refa hajatoa kadi,
ligi bado mbichi kaka,hao wanaotoka sare na man utd,utakuta wamewafunga chelsea,arsenal,liverpool au man city,mechi ngumu,aston villa hajapoteza mechi nyumbani msimu huu,man utd ni miaka 15 hajafungwa hapo villa park.Manutd yabidi ijirekebishe juu ya hizi sare haswa mechi za ugenini vinginevyo ubingwa watausikia kwenye bomba...............
wakachapwa 0-3 darajani stamford jana j2 na timu inayofundishwa na nahodha wa zamani wa man utd,hadi leo ktk comments zako unaongea lugha mbalimbali umesahau kisambaa tu,muinuke zeze!Usijali sana, hata mabingwa walipata sare hapo Villa Park.
sio mbovu sema sisi washabiki ndio ugonjwa wa moyo,mbovu haijafungwa toka august mpaka leo ktk michuano yote,na haijaruhusu goli ktk uefa champs ligi ni rekodi hiyo na kumfunga valencia kwao,ya wakati ule watu walikuwa wanasema anaejua chenga ni Giggs tu,Beckham wanasema sio mchezaji hajui chenga,sasa hivi mnasema sijui Fletcher,Carrick,Brown na Oshea wabovu,wapi jamani,mwacheni babu SIR anajua nini anachokifanya.Hii ndio Manchester mbovu tangu nimeanza kushabikia hii timu, CARICK,BROWN,OSHEA hawana chao tena .Hapo kati hasipokuwepo babu SCHOLES timu inakuwa kimeo pamoja na matatizo yote hayo eti anayeongoza ligi amatuzidi point 6
Hii ndio Manchester mbovu tangu nimeanza kushabikia hii timu, CARICK,BROWN,OSHEA hawana chao tena .Hapo kati hasipokuwepo babu SCHOLES timu inakuwa kimeo pamoja na matatizo yote hayo eti anayeongoza ligi amatuzidi point 6
Wanazi wa man ukeli ni kwamba sijawahi kuiona manutd kama hii ya sasa imebidi nilipie Dstv niangalie mpira nyumbani kwenye mabar nashindwa kuvumilia nataniwa mpaka nakasirika natamani nimtwange ngumi Sir alex kwa kushindwa kusajili wachezaji wa kiwango.Tayari nimemsikia akibwabwaja hatakuwa na mpango wa kusajili dirisha dogo ?.
Manchester United inahitaji wachezaji wawili wa kiungo hata kama hawatakuwa na msaada mkubwa msimu huu lakini watazoea mazingira na uchezaji wa man.Evra na Vidic ni mfano mzuri wa wachezaji waliosajiliwa dirisha dogo baadae wakaja kuisaidia sana timu.Kuna baadhi ya wachezaji watatakiwa kuondoka mara moja.John Oshea,Garry Neville,Carrick,Giggys na Barbaflop.Scholes apewe mkataba wa mwaka mmoja wakati replacement akijiandaa kuzoea mazingira.