Hahahahahahaha kipindi hiko Man U ilikuwa noma, walikuwa na mido yao pale kati ilikuwa inaitwa scholes. Katika hiyo Game Ronaldo alianzia wing ya kushoto, akawa anapiga mashuti yake ya kijinga jinga. Wanaume dakika ya 9 tukaweka mpira wavuni, weeeeeeeeeeee. Walitafuta mpira mpaka wakakata tamaa na wakahisahau kama wanacheza final.
ha ha ha ha ha ha SS NDIO BARCELONA
Sisi ndio bwana wake wa Man U, kila tukikutana nae lazima akae, katupa mara mbili mfululizo. Tunampenda sana mke wetu Man U.
na tunamwombea Mungu japo tupangwe nae makundi maana tumemmic sana
Makundi hawataumia Mkuu, sema Mtoano?
zile final 2 hadi leo huna sababu ya kumwambie shabiki wa man u ampende messi au aisikie barca ndio maana tulipo kuja kupata kichapo kutoka kwa bayern mwaka juzi watu wa man u walifuarahi sana na juzi tulipokutana nao tena walijua basi ndio yale ya 2013 mara wakaja kumuona magicien king leo messi alivyo mgaragisha neur haaahahahaaaa karibuni man u katika champions league kufika 16 basi bahati yenu
King Messi, Legendary Messi, hakuna mwanaume kama huyu, Sijui kwanini Man U hawampendi.zile final 2 hadi leo huna sababu ya kumwambie shabiki wa man u ampende messi au aisikie barca ndio maana tulipo kuja kupata kichapo kutoka kwa bayern mwaka juzi watu wa man u walifuarahi sana na juzi tulipokutana nao tena walijua basi ndio yale ya 2013 mara wakaja kumuona magicien king leo messi alivyo mgaragisha neur haaahahahaaaa karibuni man u katika champions league kufika 16 basi bahati yenu
jamani katusaliti
King Messi, Legendary Messi, hakuna mwanaume kama huyu, Sijui kwanini Man U hawampendi.
Lile goli la pili pale Wembley aliwafunga midomo, wakaanza kutetemeka uwanjani utadhani kuku wa kideli.
waache watakimbia wenyeweNaona uzi umevamiwa na barca,hv kwa nn msiwe na uzi wenu???,arsenal tu wana uzi uliosheheni data,nyie vipiiii?