Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahahaha
 
Attachments

  • 1431931449343.jpg
    1431931449343.jpg
    48.7 KB · Views: 131
Nimshukuru Blankett kwa lipi? Hii ni mara ya kwanza kutokea ati deflected goal kutoka kwa defender mnaita own goal upuuzi mtupu, inaonyesha jinsi mashabiki #Mburukenge wasioangalia mpira na kazi yao kubwa ni unazi tu. Watch the game and comment fairly. Manure mlicheza kipindi cha kwanza kwa kasi na kubebwa na refa wenu wa siku zote. Gunners wakaamua liwalo na liwe wakaanza kutandaza kandanda ya uhakika toa Carzola na Belerin ingiza Jack na Theo mkawa mnahema hovyo Ramsey kampiga kanzu Degea na kutaka kuweka chuma wavuni mkaponea tundu la sindano ikabidi Gea aondoke maana ile kanzu haikuwa nchezo, ndio kuaga kwake aliona bora aondoke bila nuksi. Mnabakia wazee wa historia tu chacha chubirini huyu refa MD akiondoka ndio imetoka hiyo. khe khe kjhe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong.

Endeleeni kujifariji, last match tuliwakung'uta hapo hapo Old Trashford na hivi tinachubiri kutwaa FA Cup kwa mara ya pili mfululizo .. .. .you will like Gunners Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong!

BTW jipangeni upya na majina mapya kama kina Eqllypsssssssssssssssss et al msimu ujao maana nafahamu mnaona soni kubebwa na mbeleko.[/QUO
kilichofanya asifunge baada ya kumpiga kanzu ni nini?? kwanza unajua maana ya kanzu wewe??? ramsey angeupata ule mpira ndio ingehesabika kanzu sio unaongea utumbo utumbo hapa, hivi unakumbuka mara ya mwisho arsenal kumfunga man utd ot KWENYE LIGI ilikua lini??? unamkumbuka hata aliyefunga lile goli?? kipindi hicho nipo form two hatimaye namaliza semester yangu ya 8 bado mnahangaika kutafuta ushindi OT,
cheki usivyo na aibu we jamaa, mmeshamaliza decade saizi hamjainua ligi unafurahia FA CUP napo baada ya kukaa miaka 9 bila trophy, inamaana miaka yote hyo mlikua mnajiandaa kubeba FA?? shame!!!!! badala ya kuwaza kubeba angalau uefa unahangaika na FA au wenzetu sio rizikiiiiiiiii??????

kwan dany welbeck kafunga lini:what:
 
Ndiyo Barca ndo mchepuko wangu mumy.....acha tu aende kazi aliyotufanyia yatosha hata tukimbembeleza haitasaidia tutampata Musa mwingine mzur ila namuonea huruma naona kama kipaji chake kitakufa..... Pia usijali kwa usajili tutakaofanya majira ya joto ngome yetu itakuwa nzuri so Victor hatakuwa na kazi nzito sana.

Hahahaaa kazi ipo...mimi mchepuko wangu ni juve daaaahhhhhhh.....afu juve nampenda yaan sasa sijui itakuwaje akikutana na mchepuko wako
 
Naomba niseme tu: Hongereni sana kwa jana.

Mtazamo wangu: Mna kikosi kitamu sana yana. Nawaza kama msimu ujao kina Shaw-Blind-Rojo-Herrera-Mata-Fellaini-Young wakicheza kama walivyocheza jana, pale kati hakuna mtu wa kuwazingua.

Yani mnatakiwa tu mtafute tena striker mzuri na kipa then mtakuwa poa sana!!!
 
thanks joh, kuna watu still hawataki ku appriciate
 
Kwa Mara ya kwanza umetufagilia Mentor mwaaaaaaa!!!!
 
Last edited by a moderator:

Atakayekataa kuwa jana hamkucheza vizuri atakuwa Wacha 1 peke yake! Which makes me think, au ni kwa sababu Arsenal walicheza so shitty jana????

For real (ukimtoa Shaw ambaye jana hakucheza) niliangalia walivyokuwa wanaflow mpira kutoka nyuma kwenda Mbele pale nikavutiwa sana. Hata jinsi walivyokuwa waki-defend, so lovely. Kwa mara ya kwanza jana nlimuona Mata akirudi nyuma na kupanda so smoothly tena alifanya blocks bila kucheza rafu!

Of course kulikuwa na flaws kwa Smalling-jones partnership na kule mbele palikuwa butu sana! With Rooney still going next season anahitajika striker mwingine wa kuwa anamsaidia. Of course hapo kwa makipa - ingawa huwa mnakuwaga na ngekewa ya makipa wazuri - ndo najua msimu ujao sisi mahasimu wenu tutakapowafaidi.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha!! Kazi ipo Juve namlike na ni best yangu but Barcelona namlove mwee!!!

Na mimi namkubali sana mesi bila kumsahau neymer...ila sasa nilishindwa kuwafanya michepuko maana ni matawi sana na ndo maana nilitamani final wacheze na real ila imeshindikana....
Acha nijiandae kupokea kombe Italy...
Hahahaaaaa sipati picha utakavyonunaaaaa
 
Naomba niseme tu: Hongereni sana kwa jana.

Mtazamo wangu: Mna kikosi kitamu sana yana. Nawaza kama msimu ujao kina Shaw-Blind-Rojo-Herrera-Mata-Fellaini-Young wakicheza kama walivyocheza jana, pale kati hakuna mtu wa kuwazingua.

Yani mnatakiwa tu mtafute tena striker mzuri na kipa then mtakuwa poa sana!!!

Siamini kama ni wew umeandika hii msg.....
Asante sana mkuu
 
Atakayekataa kuwa jana hamkucheza vizuri atakuwa Wacha 1 peke yake! Which makes me think, au ni kwa sababu Arsenal walicheza so shitty jana????

For real (ukimtoa Shaw ambaye jana hakucheza) niliangalia walivyokuwa wanaflow mpira kutoka nyuma kwenda Mbele pale nikavutiwa sana. Hata jinsi walivyokuwa waki-defend, so lovely. Kwa mara ya kwanza jana nlimuona Mata akirudi nyuma na kupanda so smoothly tena alifanya blocks bila kucheza rafu!

Of course kulikuwa na flaws kwa Smalling-jones partnership na kule mbele palikuwa butu sana! With Rooney still going next season anahitajika striker mwingine wa kuwa anamsaidia. Of course hapo kwa makipa - ingawa huwa mnakuwaga na ngekewa ya makipa wazuri - ndo najua msimu ujao sisi mahasimu wenu tutakapowafaidi.

Hugo Lloris anakuja kuziba pengo
 
Last edited by a moderator:
Na mimi namkubali sana mesi bila kumsahau neymer...ila sasa nilishindwa kuwafanya michepuko maana ni matawi sana na ndo maana nilitamani final wacheze na real ila imeshindikana....
Acha nijiandae kupokea kombe Italy...
Hahahaaaaa sipati picha utakavyonunaaaaa

Dah!!! Ndugu yangu tutakosana sababu ya michepuko ntakununia kweli ila sababu Juve ni best yang ntakusamehe ila tuache michepuko turudi njia kuu......lol..... Msimu ujao tutakavyokuwa wakali haki ya nani michepuko tutaisahau kabisaa....
 
Back
Top Bottom