Ni wew kweli duuuu usitake niku chuummm
Kwa mziki Wa the gunners hiyo sale mnatakiwa mshangilie
Me nashindwa kuelewa inakuaje uyu dogo anakua sub ya mtu kama rojo yaani au mimi sijui mpira?
Naona dalili ya kukirimiwa mtu kitu kitamu...
Kwa mziki Wa the gunners hiyo sale mnatakiwa mshangilie
Hahahaaa nitamchumm
Ukiona hivyo ujue kocha hana namna, usajili wa nguvu unahitajika lasivyo Qualifiers hakuna mlango wa kupita.
Hilo tu?
Na kinginge nitampa ata P
Mkuu unasema YOUNG yupi...?Napenda sana chama langu la man utd. Ila naomba young, bracket, wasiwepo msimu ujao.
Napenda sana chama langu la man utd. Ila naomba young, bracket, wasiwepo msimu ujao.
Grafani. Kwa usajili utakaofanyika. Tutakuwa level nyingine. Rojo alipotoka hakukuwa na mwingine isipokuwa Blackett,kwani Luke Shaw ni majeruhi. Najua tupo dissapointed lakini tungeshinda malalamiko yasingekuwepo.Makosa yanatokea kwenye football. That is football.