dont argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat u with an experience, chelsea kaenda five years without a trophy, arsenal ten years, liverpool two decades, manchester united only 3 yrs but ndio inaongelewa kuliko hao wengne, this simply tell me that MANCHESTER UNITED NDIO TIMU INAYOOGOPWA na wanajua watakua kwenye wakati mgumu pindi ikirudi kwenye moto wake, so let them use a small chance they got to talk,
VIVA UTD, am RED and i will always be
Pole sana wangu, tuombe sana Mungu hii mechi ya jmosi angalau atuone, juzi Crystal Palace wamecheza vizuri tuombe LVG aje na mbinu ambazo zitabadili matokeo.
Kijana yupo vizuri msimu ujao wakaanga sumu watainywa wenyewe.
Asije akawa kama Wilfred Zaha,tulimpokea kwa matumaini makubwa lakini mwisho wa siku tukaambulia chenji tuu
TOP 20 MOST VALUABLE FOOTBALL CLUBS IN THE WORLD
Club ValueRevenue
1. Real Madrid. £2.13bn £489m
2. Barcelona £2.07bn £431m
3. Manchester United £2.03bn £461m
4. Bayern Munich £1.54bn £434m
5. Manchester City £905m £369m
6. Chelsea. £898m £345m
7. Arsenal. £859m £320m
8. Liverpool. £644m £272m
9. Juventus. £549m £249m
10. AC Milan. £508m £222m
11. Borussia Dortmund £459m £233m
12. Paris Saint-Germain £416m £422m
13. Tottenham. £394m £192m
14. Schalke. £374m £190m
15. Inter Milan. £288m £146m
16. Atletico Madrid. £286m £152m
17. Napoli. £232m £147m
18. Newcastle. £229m £138m
19 West Ham. £203m £122m
20 Galatasaray. £193m £144m
Forbes' most valuable football clubs list revealed and explained
Read more: Real Madrid lead the way as most valuable club in the world at £2.13bn while Barcelona and Manchester United make up top three | Daily Mail Online
Licha ya kukosa UCL mwaka huu, timu kithamani bado ipo vizuri....Real Madrid wameipita United kwa £0.10bn tu....na hapo deal la Adidas halijawa factored in....mwakani itakuwa balaa....pia hata kimapato timu ipo vizuri...ni Real tu ndiye mapato mengi..
Di Maria, Januzaj, Falcao wote mlikuwa na matumaini makubwa. Wachezaji nyota dizaini ya kina CR7, Messi huwa wanatokea mara moja moja baada ya miongo kadhaa. Tusubiri tuone atakavyokuwa.
Asije akawa kama Wilfred Zaha,tulimpokea kwa matumaini makubwa lakini mwisho wa siku tukaambulia chenji tuu
Baada ya togwa ni kuoga......
Hata waseme vipi Chelsea ni wageni wa vikombe ndio maana wanachonga sana. Acha wajitahidi angalau wafikishe mataji kumi ya EPL maana Wazee wa Old Trafford wakitake off nj mpaka Taji la 40, sidhani kama washabiki wa chelsea walioko hai leo wataliona tena acha walishike kwa mara ya mwisho. Viva Man U wazee wakujaza Makabati kwa vikombe na medals sio hawa wengine vikombe sababu ya uchache wake vimewekwa juu ya meza tu.
Best team around the world