Hahaha!!! Ukija nimeandaa manati nakupiga nayo....... nimeshakuhaidi kuna siku utalia zaidi yangu usinikimbie tu maana unavyojua kukimbia mwezi mzima unajificha.
Huna haki ya kumuita mwenzio Stupid kwa kuwa tu ana wa troll hapa
he is just enjoying joking you....huu utani upo JF sports muda tu usilete chuki
Maneno ya utani yapo kila siku humu watu hutaniana....usiwagombanishe hawa ndugu wawili
nahisi utakuwa mgeni wa haya majukwaa lakini #Utazoea tu ni sehemu ya burudani
ila mdada ameichukulia serious sana... Mentor punguza sindano kidogo usiue mgonjwa kabisa ndugu
Hahaha bro kashengo naamini hata herrera kaisema hiyo stupid kiutani zaidi lol...kukosa kombe kunauma ujueeee. Kuna kipindi Nzi na Mbu walikuwa wakizozana hapa sisi binadamu tunashangaa ila all in the name of sports...yanaishia hapa hapa.
Having said that ndugu herrera na bi everlenk sitoacha kuja humu kuwa troll hata kidogo hata ingekua ni kwa msimu mmoja tu...hata ukame huanza na kukosa mvua kwa msimu mmoja..khe khe khe khe kheeeeeeeeeeee....
Na bado.
#teamBLUE
Yatakuwa machozi ya furaha msimu ujao tutakaponyakua EPL na UCL...oooh I will cry my dear!!!! ...and I will not run!!!
Niite Mcharo!
United never die! United We Stand.
Teehe teehe tehee heshima yako mtani una roho ngumu kweli ... Bulldog kakimbia kabisa humu siku hizi ananipa motisha sana kuhusu magari
Hahahaha!!! Thubutu , baby msimu ujao huo ni wangu hakuna mambo ya possession without goal mbona utanipenda.......Mcharo wangu champagne ya kombe letu tunafungulia wapi? London, Paris, USA au kwa mtogole?
Ninachokiona Man U ni hiki kifuatacho:
Ushindi wa Man U mechi 4 mfululizo ulitokea wakati Van Persie hayupo na uwepo wa Carrick.
Hii ina maanisha Fellain na Rooney kucheza namba zao stahiki.
Kinyume na hapo ni kumuona Rooney akirudishwa nyuma na Fellain kupanda mbele kama juzi.
Kitu kingine Van Gaal aache upendeleo katika upangaji wa timu, inawezekanaje kulazimisha Persie acheze dk 90 wakati amekaa benchi muda mrefu au kwa kuwa ni Mholanzi mwenzake. Kama haitoshi unampa kupiga penati mtu majeruhi? Haoni kama kukosa penati ile kulinyong'onyeza timu.
Ninaanza kuamini maneno ya watu kuwa ushindi ktk zile mechi nne mfululizo timu ilipangwa na Giggs.
Hadi leo naamini giggs ni bonge la coach. Sema anakosa experience being as a coach. Miaka mitatu ijayo atakuwa moto wa kuotea mbali
Tumeshawazoea mnasema 'msimu ujao' halafu u dont deliver. Sisi Mou alisema '..next season' na kweli tumechukua! Na akisema next season ni UCL basi ni letu tu hata aje nani...
Kuna togwa my dear...lokesheni nitakujuza privately si unaona kuna viungo wakabaji wengi humu ndani itakuwa tabu kidogo!!!
hahahaha! Naona mshatubatiza na majina kabisa..... Mimi siongei tutaonana next season.
Hewalaaa !!! Lazima tudumishe mila ile wengine wameshindwa.... Togwa mahali yake.
TOP 20 MOST VALUABLE FOOTBALL CLUBS IN THE WORLD
Club ValueRevenue
1. Real Madrid. £2.13bn £489m
2. Barcelona £2.07bn £431m
3. Manchester United £2.03bn £461m
4. Bayern Munich £1.54bn £434m
5. Manchester City £905m £369m
6. Chelsea. £898m £345m
7. Arsenal. £859m £320m
8. Liverpool. £644m £272m
9. Juventus. £549m £249m
10. AC Milan. £508m £222m
11. Borussia Dortmund £459m £233m
12. Paris Saint-Germain £416m £422m
13. Tottenham. £394m £192m
14. Schalke. £374m £190m
15. Inter Milan. £288m £146m
16. Atletico Madrid. £286m £152m
17. Napoli. £232m £147m
18. Newcastle. £229m £138m
19 West Ham. £203m £122m
20 Galatasaray. £193m £144m
Forbes' most valuable football clubs list revealed and explained
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/fo...nchester-united-make-three.html#ixzz3ZOxmltoC
Licha ya kukosa UCL mwaka huu, timu kithamani bado ipo vizuri....Real Madrid wameipita United kwa £0.10bn tu....na hapo deal la Adidas halijawa factored in....mwakani itakuwa balaa....pia hata kimapato timu ipo vizuri...ni Real tu ndiye mapato mengi..
TOP 20 MOST VALUABLE FOOTBALL CLUBS IN THE WORLD
Club ValueRevenue
1. Real Madrid. £2.13bn £489m
2. Barcelona £2.07bn £431m
3. Manchester United £2.03bn £461m
4. Bayern Munich £1.54bn £434m
5. Manchester City £905m £369m
6. Chelsea. £898m £345m
7. Arsenal. £859m £320m
8. Liverpool. £644m £272m
9. Juventus. £549m £249m
10. AC Milan. £508m £222m
11. Borussia Dortmund £459m £233m
12. Paris Saint-Germain £416m £422m
13. Tottenham. £394m £192m
14. Schalke. £374m £190m
15. Inter Milan. £288m £146m
16. Atletico Madrid. £286m £152m
17. Napoli. £232m £147m
18. Newcastle. £229m £138m
19 West Ham. £203m £122m
20 Galatasaray. £193m £144m
Forbes' most valuable football clubs list revealed and explained
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/fo...nchester-united-make-three.html#ixzz3ZOxmltoC
Licha ya kukosa UCL mwaka huu, timu kithamani bado ipo vizuri....Real Madrid wameipita United kwa £0.10bn tu....na hapo deal la Adidas halijawa factored in....mwakani itakuwa balaa....pia hata kimapato timu ipo vizuri...ni Real tu ndiye mapato mengi..