Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona LVG ame-copy and paste staili za Ajax na Barcelona lakini kasahau kuwafundisha jinsi ya kufunga magoli
 

Teehe teehe tehee heshima yako mtani una roho ngumu kweli ... Bulldog kakimbia kabisa humu siku hizi ananipa motisha sana kuhusu magari
 
Last edited by a moderator:
Ninachokiona Man U ni hiki kifuatacho:
Ushindi wa Man U mechi 4 mfululizo ulitokea wakati Van Persie hayupo na uwepo wa Carrick.
Hii ina maanisha Fellain na Rooney kucheza namba zao stahiki.

Kinyume na hapo ni kumuona Rooney akirudishwa nyuma na Fellain kupanda mbele kama juzi.

Kitu kingine Van Gaal aache upendeleo katika upangaji wa timu, inawezekanaje kulazimisha Persie acheze dk 90 wakati amekaa benchi muda mrefu au kwa kuwa ni Mholanzi mwenzake. Kama haitoshi unampa kupiga penati mtu majeruhi? Haoni kama kukosa penati ile kulinyong'onyeza timu.

Ninaanza kuamini maneno ya watu kuwa ushindi ktk zile mechi nne mfululizo timu ilipangwa na Giggs.
 

Mimi sasa hivi nikiona kocha amewapanga kuanza januzah, van persie then nione rooney amerudishwa nyuma huwa nazima tv kama nimo home au kama ni baa nahamia isiyokuwa na dstv.
Nimefanya hivyo mara kadhaa na imejibu ikiwemo juzi.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sasa hivi nikiona kocha amewapanga kuanza januzah, van persie then nione rooney amerudishwa nyuma huwa nazima tv kama nimo home au kama ni baa nahamia isiyokuwa na dstv.
Nimefanya hivyo mara kadhaa na imejibu ikiwemo juzi.

Hata nami sikupendezwa kabisa na kitendo cha RVP kupiga penalt, Rooney akirudishwa nyuma tu hakuna litakaloondelea, kwa kweli tunarudi tena kule nyuma ambako tuliteseka hatukuwa na first eleven inayoeleweka.....
 
Mentor pliiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzz stay away from us.........its enough aiseee..utanifanya niwe Mentor.......ubingwa ushachukua fujo za nini tena mzee!!! Embu tupumzishe tukapiganie haka kachansi kalikobaki kwa amani....... lol

Hahahahahahahaha Surely nimecheka sana

usikasirike take it easy mkuu
Mentor we mungiki ni balaa
 
Last edited by a moderator:
Mentor pliiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzz stay away from us.........its enough aiseee..utanifanya niwe Mentor.......ubingwa ushachukua fujo za nini tena mzee!!! Embu tupumzishe tukapiganie haka kachansi kalikobaki kwa amani....... lol

dont argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat u with an experience, chelsea kaenda five years without a trophy, arsenal ten years, liverpool two decades, manchester united only 3 yrs but ndio inaongelewa kuliko hao wengne, this simply tell me that MANCHESTER UNITED NDIO TIMU INAYOOGOPWA na wanajua watakua kwenye wakati mgumu pindi ikirudi kwenye moto wake, so let them use a small chance they got to talk,
VIVA UTD, am RED and i will always be
 
Last edited by a moderator:

Come on, it isn't three years...it is two seasons...SAF left United with EPL title..then United went blank under Moyes, and now under LvG.
 

Huna haki ya kumuita mwenzio Stupid kwa kuwa tu ana wa troll hapa

he is just enjoying joking you....huu utani upo JF sports muda tu usilete chuki

Maneno ya utani yapo kila siku humu watu hutaniana....usiwagombanishe hawa ndugu wawili

nahisi utakuwa mgeni wa haya majukwaa lakini #Utazoea tu ni sehemu ya burudani

ila mdada ameichukulia serious sana... Mentor punguza sindano kidogo usiue mgonjwa kabisa ndugu
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha!! Hapana siyo serious kabisa mimi na Mentor twajuana vizuri sana, huu ni utani tu, na ukitaka uujue utani wetu vizuri nenda kwenye Uzi wao.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha bro kashengo naamini hata herrera kaisema hiyo stupid kiutani zaidi lol...kukosa kombe kunauma ujueeee. Kuna kipindi Nzi na Mbu walikuwa wakizozana hapa sisi binadamu tunashangaa ila all in the name of sports...yanaishia hapa hapa.

Having said that ndugu herrera na bi everlenk sitoacha kuja humu kuwa troll hata kidogo hata ingekua ni kwa msimu mmoja tu...hata ukame huanza na kukosa mvua kwa msimu mmoja..khe khe khe khe kheeeeeeeeeeee....

Na bado.

#teamBLUE
 
Last edited by a moderator:

Hahaha!!! Ukija nimeandaa manati nakupiga nayo....... nimeshakuhaidi kuna siku utalia zaidi yangu usinikimbie tu maana unavyojua kukimbia mwezi mzima unajificha.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…