hakuna timu ya england itakayokuja emirates afu ikae na mpira...wote wanaokuja emirates huwa wanaishambulia arsenal kwa counter
Kuna mtu huyo anaitwa Mentor anavyojiachia sasa hivi!
Naona kisingizio cha simu yangu haina chaji sasa hakipo.
Chifu, uwe unafanya hivi siku zote. Siyo matokeo yakiwa mabaya mnamsusia Ntuzu jukwaa.
Huo ndiyo ushabiki maandazi; unakuwepo na kuchafua hali ya hewa mambo yakiwa mazuri. Halafu unakimbia mambo yakiwa hovyo!
Hahahaha nafikiri ulivua cute b guess nini nililikiona hahaha raha aise Chelsea mambo mengine haituangushiLeo iyo blue ndo mwisho wao..... muda umekaribia tupia blue yako nitupie red yangu afu tuone nani atavua t shrt yake
Hahahaha nafikiri ulivua cute b guess nini nililikiona hahaha raha aise Chelsea mambo mengine haituangushi
hahahahahaaaaaa usinikumbushe iyo siku ...sikuvua wala nini afu sasa nilikuwa nimetupia T-shirt ya man u, pens ya man u, saa ya man u na ribon ya kichwan yaan
Nilivyoona ni dkk ya tisin na moja...nishafika nyumbani kitambo yani maana daaahhh.....ila naipenda sana man u....
Afu sasa kesho yake nika vaa na T-shirts. Ya man u maisha yakaendelea
hebu njoo nikupe zawadi....unajitambua sana wewe mtoto mzuri!
Dogo ameshaelewa anatakiwa afanye nini uwanjani.
b5-click umejiandaa na ban ya mwezi mzima kijana?
b5-click umejiandaa na ban ya mwezi mzima kijana?
Mimi sina mengi ujuwe, nimeona "team mouthrinho" mnaongea sana, imebidi nikae kimya, lakini kumbuka tu neno moja kuwa utakosa uhondo wa jf kwa mwezi mzima...we haya tu!!!!
Dogo ameshaelewa anatakiwa afanye nini uwanjani.
Kwa kazi anayoifanya anastahili tu...amebadilika sana.
Hahahahah... kwani tumewachosha sana!??
Naona jana Daddy wako kafanya yake.. na Lile gharika uliliona?