This is just a diplomatic language of world class players like Hazard! He did'nt mean you were more better! He knew that he had inflicted a good amount of pain on you, so to sooth you up he had to use such a considerate language, I hope you feel some relief although it does not change the score board!
Ngoja tu-focus kwenye game ijayo dhidi ya Everton pale Goodison Park!
Hili ndo la maana kwasasa maana EPLtable sasahivi inatishia amani, na tusimpuuzie Everton hizi game zake mbili za mwisho si haba..... Haya MUSSOLIN na wadau wote wa MANU maoni yenu tafadhali kikosi gani kinafaa.......
Kikosi jiwe kile kile natumai watakuwa wamepona wote labda pass master pekeeHili ndo la maana kwasasa maana EPLtable sasahivi inatishia amani, na tusimpuuzie Everton hizi game zake mbili za mwisho si haba..... Haya MUSSOLIN na wadau wote wa MANU maoni yenu tafadhali kikosi gani kinafaa.......
Welbeck habebeki ni hype na media ya UK tu ndio wanawapandisha kuhusu medali, hizo ni pumba tu MK Dons waliwatoa kamasi wana medali gani? Endeleeni kujiridhisha nyie tunafahamu bila brown envelopes ni watupu tu hamna lolote ... ... .. ding dong khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Salamu za mchana wapendwa...
Natumai leo ndio mwisho wa kambi yako humu kama ulivyosema au sio kiongozi...?Salamu za mchana wapendwa...
Yaaani umekuja na huku Aiseee!! Huku nitakupiga mawe weweeeeee!!!!!! Kule nilikunyamazia tu..........
Natumai leo ndio mwisho wa kambi yako humu kama ulivyosema au sio kiongozi...?
mtu anisaidie kumtoa huyu jamaa kwenye mfuko wa ZOUMA ...........
Grand PA
Masahihisho,
Falcao amechukuliwa kwa mkopo wa £ 6 m sio 20,LVG alikuwa smart sana kwenye usajili huu kama angesajiliwa permanent usajili wake ungefika £ m 50 kwa hiki kiwango kweli tungekuwa tumepata hasara
Di Maria ni flop kama unavyosema but ana assists 10 na amecheza game chache ukilinganisha na Cesc anayeongoza
Luke Shaw kama ulimuona game na Chelsea nafikiri unaweza ukatoa assessment vizuri,dogo atakuwepo United kwa zaidi ya miaka 10 kama Rio hiyo hela aliyonunuliwa itaonekana ndogo sana.Blind amesajiliwa kama kiungo sio full back but ni versatile player anacheza popote kumbuka Carrick umri umekwenda
Mwisho usitake kufananisha financial power ya Arsenal na Man United,tuna ubavu wa kuja kuchukua mchezaji hapo kwenu but hamna ubavu kuja kuchukua kwetu,now mna hela still mmesajili kina Chambers,Wellbeck
Hili ndo la maana kwasasa maana EPLtable sasahivi inatishia amani, na tusimpuuzie Everton hizi game zake mbili za mwisho si haba..... Haya MUSSOLIN na wadau wote wa MANU maoni yenu tafadhali kikosi gani kinafaa.......
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
mtu anisaidie kumtoa huyu jamaa kwenye mfuko wa ZOUMA ...........
Grand PA
Huyo hatoki mpaka Mourinho aseme basi, ndo ataachiwa..
sijajua kufikia w'end hali ya majeruhi wetu itakuwaje? Ila naamini baadhi yao watarudi