daaah nimekubali wakuu, tmecheza Sana show game lakini Good luck to Chelsea....Bahati ilikuwa hao..wamecheza kwa tactics nyingi mwishoni....
sasa ngoja nikatulizwe na mtoto, kesho niamke na amani
Man U walikuwa bora leo lkn wamepoteza!
Ukipoteza unakuja hapa unaipongeza team iliyokupiga na ndiyo soka inavyosema
Kuja hapa kulaumu the right,the left and center inaonyesha ww sio mwanamichezao
Wachezaji wote uwanjani wanajua kucheza Mpira..
Walimu ndo wamezidiana.
Man u kiufundi walikuwa vizuri
Kimbinu walikua hovyo
Chelsea kiufundi hatukucheza vizuri
Lakini kimbinu tumefaulu 100℅
Chelsea ndio mbabe wa man u na wazembe wengine wote!
Unakuja darajani kichwakichwa!
BEGI BILA NAULI UNABAKI
Da! Man u toka waifungage chelsea wamesahau,wakipata droo wanashukuru maana ndo ushindi wao
MZEMBE ACHA APIGWE TU!
Halafu siyo tabia zuri kuleta fujo msibani ujue tutakung'ta meno ohhhhh!!!!!! Lol
Mpira ni magoli,kama mlicheza vizuri tuliwafungaje,basi mgeshinda.
daaah nimekubali wakuu, tmecheza Sana show game lakini Good luck to Chelsea....Bahati ilikuwa hao..wamecheza kwa tactics nyingi mwishoni....
sasa ngoja nikatulizwe na mtoto, kesho niamke na amani
Poleni sana mashetani, you had a "cracker-game"....mmecheza vema sana, bahati mbaya matokeo ndio zaidi..
Timu imecheza vizuri, Jose kama kawaida yake akishapaki basi huwezi fanya lolote,I hope Carrick au Blind atarudi next game ili Rooney arudi kucheza striker
Jiandae kutukabidhi point zetu 3Unazi pembeni nadhani Manchester United wanaweza kumaliza wa pili.Ila naomba isitokee. Mechi 4 zilizopita mmecheza mpira wa enzi za Fergie.
Man u kafungwa na Refa wala sio Chelsea. Waliofuatilia mechi wameliona hilo.
hata wangefungwa na mshika bendera ushindi ni wa chelsea,ubao wa matokeo unabaki vile vile 1-0Man u kafungwa na Refa wala sio Chelsea. Waliofuatilia mechi wameliona hilo.
Jiandae kutukabidhi point zetu 3
Nitajie incidents za leo zinazoifanya man utd kusemwa imecheza vizuri please...mbili tu au tatu.
Ndo maana hamfiki mbali kwa hopes zenu za kijinga....imechezaje vizuri sasa yani kwa mfano!
Mlipoona felaini ameekwa mfukoni kwa nn msiwe na plan B ya go to person kumpeleka mipira matokeo yake mkaendelea kumpa na Zouma akamficha zaidi...af mnadai mmecheza vizuri..wapiiiiiiiiiiii
Possession sio ubora jamaniiiiiiii niliseme hili mara ngapi???????? Waiii naenda kulala mimi wanafunzi wagumu hivi kuelewa ndo maana litimu lenu litaishia kuwafunga crystal palace tu.
Man u kafungwa na Refa wala sio Chelsea. Waliofuatilia mechi wameliona hilo.