Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Attachments

  • 1429382931782.jpg
    25.2 KB · Views: 134
Last edited by a moderator:

Kwa 18th century football rentboys waliyocheza (30% possession at home &#128563😉 ni vigumu kuvunja hilo basi. Kama umeangalia post-match interview ya Maureen kaonyesha kabisa nia yake ilikuwa ni kupata points 3 tu.

Nakumbuka alivyocheza na West Ham (walivyopaki basi) alilalamika sana na kusema W. Ham walicheza 18th century football. Na kuponda sana mfumo huo. Leo kala matapishi yake!!
 
Last edited by a moderator:
Kombe la FA linarudi Emirates for the second time.. Write that down somewhere # wasagasumu.
 

Kubishana Na wewe lazima uwe kichaa kidogo....
 
Muwe wapole tu!ni mpira yatapita na mtasahau,ila endeleeni kupambana nafasi ya pili mtaipata!Hizi mechi zetu za kutangaza ubingwa mapema lazima tucheze kwa tahadhari sio kipindi kile cha mwanzo wa msimu tulikuwa tunafunguka Haswaaa!<br><br>
 
Malafyale kaka yangu Jambia limefanya kazi yake vyema nadhani umefurahia soka safii basi tu kunywa damu leo ilikuwa shida wanyonya damu wazur walimiss
 
Last edited by a moderator:
Yaani unacheza nyumbani kwa 30% possession?!? Hivi washabiki wa rentboys uwa mnashangilia?!?
Nzi tumecheza poa sana ukizingatia nyie pia hamkucheza mpira..maana mpira aio possession.
Kama ni beautiful football mmeionesha wapi? Kwa mapasi marefu kwa fellaini? Kwa dribbles zipi..ni kwamba tu mlikaa na mpira mda mrefu ndo mnajiona mnajua kucheza mpira? Cmon man...

Ni mchezaji wenu yupi kacheza 21st century football please grafani 11 na privacy!??

Acheni kulalamika...the only way to beat timu inayokimbilia kukaa na mpira ni ku defend zaidi ndo maana sisi chelsea tutakuwa mabingwa tu. We learn to adapt. Mngecheza kama man city last weekend na sisi tungefunguka vivyo not today's diving 21st century game!

Stop lamenting..u r a one formula team....


Points twapoteza lkn chenga twawala?

Tukipoteza game tuwapongeze waliotufunga ndiyo soka jamani

Chenga zenyewe hawajatula zaidi ya kubutua mbele...kumnyima Falcao pasi na kuwageuza Smalling na McNair kuwa midfielders.

But u have nailed brother.
 
Last edited by a moderator:
Haya sasa kuna watu walikuwa wanasema nani atamkaba manywele, wengine wakasema Mata mtamkoma ana hasira na Chelsea! Wamefanya nini hao watu wenu? Sana sana jitahidini kubuni Visingizio!

Man u weupe mkuu,hzo zlikuwa mbwembwe tu,
 
View attachment 244637
DonDonald sijaona updates za Mr. Death au izairi kama anavyoitwa bongo. Vipi mlango wa Chelsea ulikuwa umepakwa mafuta ya nguruwe au Chelse ni Walokole kama mimi ambao jini jekundu haliwezi kufanya lolote?
 
tuwe washindani wazuri, tukubali tunapozidiwa mbinu. hivi, man u leo kacheza mpira gani w hatari astahili japo draw? chance by chance, what were the odds? wadwaanz, eat it!! mpira sio kukimbia kimbia tu
 

View attachment 244631

Stats don't lie chief...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…