Good performance kipindi cha kwanza tunatakiwa kuongeza umakini kwenye Counter attack kipindi cha pili tunahitaji Pass ndefu na cross nyingi maana Chelsea watapaki basi
Kabisa mkuu. Tukishambulia sana tunapunguza tensio golini kwetu, kwahyo wachezaji wanakuwa comfotable zaid. Ila hii ya kuzubaa na kushambuliwa, morinho hafanyi makosa kwa hizo chance chache anazozipata