Mtoto hatumwi dukani leo
Falcao leo watamjua
Baada kuna tuna majeruhi wengi naona umeingia fasta fasta lol
Kaka gemu haitabirikiShetani anafia darajani leo hii. Mourinho anajiamini sana.
Falcao atathibitisha jinsi alivyo Flop yeye na Di Maria. Sijawahi kuona mchezaji expensive katika timu yoyote anasugua benchi kama Di Maria.Real Madrid waliwakamua karibia £60M kimacho macho kama Mtaa wa Kongo, enzi zile. Ashley Young anaonyesha jinsi gani Di Maria alivyo garasa. Two biggest Flops in the world.