Akumbuke kuongoza point 12 haimaanishi kuwa baada ya united anachukua kombe. Kuna mechi kama 5 mbeleni. Na mbaya zaid anakutana na Arsenal, United. Hao wakimfunga je!?
Jana nimeambiwa na kunguru mjanja eti sikuhizi ni 93 minutes......
Hiyo pumzi hawana ya kufika hapo na kina Drogba & Costa walishajizeekea.
Utawapa presha mkuu wenzio wanacheka wanaona easy game.....
Kwani unadhani ni uongo mama we utaona tu leo, mpira ni dk ngapi.
Mkuu Bulldog hilo swali waulize #Liverpool walijifanya kukaza hadi dk ya ngapi halafu Ivanovic akawafanya nini
Man United 1-0 Newcastle
Man United 2-1 Liverpool
Man United 3-1 Aston Villa
Man United 4-2 Man City
Man United 5-? Chelsea
Bulldog ata nikifungwa mechi 3 Na nikashinda 4 bado Mimi ntakua bingwa....Na kwa hizi mechi zilizobaki kuanzia Leo sipotezi....
Hebu angalia....tangu nimefungwa Na spurs tarehe moja January mwaka huu ktk EPL sijafungwa tena....kwanini sasaivi nipoteze michezo mitatu? Never....and it will never happen.....
Jana nimeambiwa na kunguru mjanja eti sikuhizi ni 93 minutes......
-Sijui nishabikie Man U, sijui nishabikie Chelseaaaaa!!!!
Huwa ndo ivyo wanaongezaga... na kwa hizo dakika zinaweza kufanya mabadiliko
View attachment 244528View attachment 244529
Leo sio bus tuu hata akipaki meli kichapo kipo pale pale
Una fanya mchezo na muziki wa Man Utd