Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Si mtishi lkn naona anasema tu.....anaweza vigodolo huyu tukianza kufagilia? Maana hapa ata BAK hajaja Na zile picha zake.....

Kigodoro ni kwenu leo kama kawaida nitakuwepo kutuliza ghasia.....
 
Last edited by a moderator:
Hivi masikini rafael yupo wap?
Raf2 yupo hana majeraha yoyote ila kutokana na perfomance ya Vale25 ameishia kukalia bench ila kutokana na hii injury anaweza kucheza hii gemu
Pia perfomance ya Valencia itategemea
 
Last edited by a moderator:
Some other good news zinazokaribia kuendana na zile za Ntuzu ni kuwa......

"Daley Blind and Phil Jones will have late fitness tests to determine whether they can play vs Chelsea"
#HandsCrossed 🙏🏾

Utawapa presha mkuu wenzio wanacheka wanaona easy game.....



Hii ilikua ni mind game tangu Jana niliiona hili Na uzuri ni kwamba Mourinho Jana hiyo hiyo hakumkopesha LvG Na hiyo mind game Yake.....alimjibu vzr tu....
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la Chelsea fans wanaichukulia easy easy sana hii gemu ... ninachoweza kusema tusubiri after 90 ....minutes
Kocha wa Man u keshaanza visingizio eti kuna wachezaji wanne ni majeruhi! Hakuna hata timu moja inayoweza kumaliza msimu bila kuwa na majeruhi! Hivyo suala la majeruhi ni la timu zote. Baada Ya dakika 90 na man u mkapata kipigo cha kueleweka msije humu jamvini na ngonjera za majeruhi! Vinginevyo mshaurini kocha wenu asipeleke timu uwanjani.
 
Hahahaha!! Una machale wewe , embu weka majibu hapa ya Mou tuyaone tuliopitwa......

Hahahaa simu yangu nashangaa inagoma kucopy Na kupaste ngoja ninunue bundle la net niweke modem kwa PC nikuletee hiyo hbr.....ila gazeti la The independent limeandika hiyo hbr hayo majibu ya Mourinho...ingawa Mou hakutoa maneno ya shombo lkn alisisitiza ManU kua bado wana kikosi kikubwa Na kizuri ata km wana majeruhi.....

Carrick pia anaweza kucheza kwasababu hajaumia sn na km asipocheza Blind atasimama pale kati km pacha Wa Herrera.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…