Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ticha mzuri siku zote ni mtaratibu hana maneno sana sasa wakati mwingine ili mwanafunzi akuelewe vizuri hasa yule dent jeuri inabidi afundishwe kwa vitendo,tunakuja na vitendo tu hapo hatuna maneno.......


Karibu sn.

Najua huu mchezo hawa makocha hawawezi kurushiana sn maneno...ila kwa namna moja au ingine kuna baadhi ya wachezaji watatoka na kurusha shombo kidogo...ngoja tuone siku zinavyoyoyoma..
 
We are going to Wembley

Akina De Gea Wembley watakuwa wanaiona kwenye TV na picha tu

Wewe nawe yaani tumemlilia Mungu angalau akuone akufute na machozi FA ushakuja kutunyanyasa huku, we subir tutaomba sisi hata finally usiione.......
 
Ntuzu una kipaji cha ubishi

Hahahaha!! Huyu hata asikupe shida anaelewa picha kamili litakuwaje muache tu ajifariji hapa, halafu na mimi nawasumbua kule mtaa wao so anajitahid kupangua mishale....... Lol
 
Last edited by a moderator:
Mitaa ya Stanford bridge hali siyo shwari kabisa.
Mou halali akiwaza nani amkabe nani maana Man U siyo timu ya mtu mmoja.
Hadi sasa hajajua nani atafunga na kwa wakati gani.
Wana Man U tuwakumbuke wenzetu the blues kwenye maombi wasije tutoka kwa pressure na mashinikizo ya damu baada ya kuona timu yao ikipigwa nyingi.
 

Kupigwa nyingi!?? Unaongea mavitu gani we jamaa!!???

Mngekua mnapiga nyingi si mngekuwa namba 0.. Maana 1 hamuiwezi nyinyi.

Manure karibuni Darajani
 
Ntuzu una kipaji cha ubishi


Garry Neville ktk mahojiano Yake kupitia kituo cha sky sport amekiri kua Man U imekua inapitia mitihani mikubwa km vile Wa LFC Na Man City....lkn kwenda Stanford bridge ktk timu bora kabisa nchini England ni mtihani mkubwa sn ambao Man Utd inakwenda kukutana nao....

Sasa km huyo nguli wenu Wa Utd anakubali sembuse mie maganga Wa Bariadi kuwabishia nyie hoja zenu?

Chelsea kiboko Mkuu.
 
Last edited by a moderator:

Ninakubaliana kabisa na Garry Naville kuwa Chelsea ni timu bora na kila anayeenda pale lazima ategemee upinzani mkubwa.
Na Man U inaenda darajani wakijua kabisa Chelsea ni timu bora na ndiyo maana inaongoza ligi tena kwa gap kubwa la points.
Pamoja na ubora huo DARAJA LAZIMA LIVUNJWE TU.
 


Basi km mnakubali hivo basi msiniambie Mimi mbishi...

Alafu mnakiri kua Chelsea ni timu bora na huo utakua mtihani mkubwa kwenu...huo uwezo Wa kuvunja daraja mnaoutoa wapi???
 
Basi km mnakubali hivo basi msiniambie Mimi mbishi...

Alafu mnakiri kua Chelsea ni timu bora na huo utakua mtihani mkubwa kwenu...huo uwezo Wa kuvunja daraja mnaoutoa wapi???

Siwezi kuwabeza chelsea hata kidogo lakini kwa namna Man U wanavyocheza kitimu huku wakiwa na spirit ya ushindi kwa mechi za hivi karibuni nadiriki kusema tena kwa sauti kubwa kabisa Daraja Litavunjwa.
 
Siwezi kuwabeza chelsea hata kidogo lakini kwa namna Man U wanavyocheza kitimu huku wakiwa na spirit ya ushindi kwa mechi za hivi karibuni nadiriki kusema tena kwa sauti kubwa kabisa Daraja Litavunjwa.


Bhageshi nisiseme sn bhana...nitumie nafasi hii kukuribisha darajani Na hiyo timu yako uone km hiyo spirit ya ushindi km itaonekana....

Tangu msimu uliopita mpk huu tunakwenda mwishoni Chelsea Fc haijawahi kufungwa Na manyanga yoyote ile ya top four Zaidi ya vitimu vidogo Na spurs....sasa sijui nyie mnaanza kutukana mamba ingali bado hamjavuka mto?😱😱😱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…