Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Ticha mzuri siku zote ni mtaratibu hana maneno sana sasa wakati mwingine ili mwanafunzi akuelewe vizuri hasa yule dent jeuri inabidi afundishwe kwa vitendo,tunakuja na vitendo tu hapo hatuna maneno.......
Karibu sn.
Najua huu mchezo hawa makocha hawawezi kurushiana sn maneno...ila kwa namna moja au ingine kuna baadhi ya wachezaji watatoka na kurusha shombo kidogo...ngoja tuone siku zinavyoyoyoma..