Man U ya hovyo hovyo ya beki akina Blackett hukumfunga ndiyo awe Man U huyu aliye pick up ?
Kumbuka kipindi hicho Chelsea alikuwa kwenye kiwango kikubwa sana cha Costa na wenzake!Nimewaona na Stoke na QPR aibu tupu!Mnategemea makipa wafanye makosa mfunge
Drogba hawezi msunbua beki Jones hata wacheze dakika 300»»»fact

Tulikwenda OT bila ya Costa na huyu huyu Drogba unaemzarau akatupia...au unajifanya umesahau?
Hiyo pick ya ManU ni kwa timu yako tu na man city lkn juzi tu Arsenal kuwapiga hawa ManU na kikosi hichi hichi kilichokupiga wewe tena OT kwao...sasa ndio ije itutishe sisi tuna kila kitu alafu tuko home?!!?
Mtasubiri sn aiseee.
Wewe bado kidogo tutaheshimiana..............
<br />[quote name="everlenk" post=12414964]Nafanya kazi ya ulinzi nililala nikaamka hii ndo mida ya wezi inabidi niwe macho kweli kweli,lol
Unaizungumzia utd hii ambayo..
Da gea anafanya kazi za mabeki.. Mabeki wamegeuka viungo... Akina Fellaini ndo wamekua washambuliaji... Washambuliaji wamekua mashabiki... Akina falcao na RVP kazi kushagilia magoli ya mabeki... Mashabiki wenyewe mnafanya kazi ya van Gaal... Van Gaal kazi kubeba mavitabu makubwaaa kama anafundisha udaktari...
Hahahahahah... Karibuni darajani wazeee
Messi amekufa!?? Maana hata akitundika daluga bado anastahili kuchukua mbele ya young...
EDEN HAZARD "MAJANGA".. CR7..!!
Kama vipi apewe David De gea.. Beki bora huyu wa everlenk... Hahahahahah
Safiiiiiiiiiii,kaka yangu unatumia kinywaji gani hapo nikutumie kwa m-pesa........
Nipo Ikwiriri shamba dada huku huduma hizo hamna!Ukiwa na shida tunakopa kwa Mwenyekiti utarudisha ukivua uduvi
Lkn najua hautapenda tena ukutane na Majogoo hata ww
Bado sn mtani....msimu ujao labda... Tena inabidi msajiri mbadala wa Carrick maana uzee unapiga hodi.
Hahahaha ... haya sasa jamaa keshagonga hodi
Hapo kuna option mbili.....
1: Fungua mlango jamaa atumie shoka lake kistarabu kwako au 2: Kataa kufungua mlango jamaa atavunja mlango kwa nguvu na kutumia shoka lake kwako katika hali ya kutisha sana
Ushauri wangu kwa Chelsea : mnachotakiwa kufanya wekeni mabeki wengi na viungo wengi kama vipi msiweke mshambuliaji, mpira ukianza tuu pakini bus,treni,meli mpaka mpira utakapoisha ili matokeo yawe ya kuheshimika kwenu kwa kufungwa kwa tabu.
Mkijifanya kupanda na kushambulia, baada ya mechi kila washabiki wa timu zingine watakuwa wanawacheka kwa dhahama itakayowakuta
Asante Bulldog kwa picha
Ntuzu ushauri huu uchukueni na muufanyie kazi, hata Malafyale keshakutahadharisha kuhusu hatari ya kucheza na timu bora Man Utd kwa sasa.
Hahahaaa yani nikipita humu najikute nacheka tu....kweli mashabiki Wa ManU mmefufuka.
Msimu uliopita mdudu Nzi alikua anakomaa peke Yake...na ata mwanzoni mwa huu msimu mlikua wapole lkn sasaivi duh....ata mitaani ni vurugu...maofisini ni vurugu...humu Jf ndio usiseme...kila notification nayopata ni iko kwa michezo tu....safi sn lkn na inapendeza sn tu kua na maneno hivi.
Baba yako Mournhio ndo katufundisha kuongea, kufunga raha sana yaani unatembea kila mahali kwa raha....... Sisi tuna maneno lakini hayajafika ya kwenu...... Mlitunyanyasa sana Mara vibonde, mtaa wa 7,tumeshuka daraja, new trafford n.k .......wacha tupige kelele tu.....tarehe 18 tunafunga kazi. Lol