Manchester United (Red Devils) | Special Thread

utamjua vizuri jumamosi, tusiandikie mate

Ata akatrain ndani ya Maji au ktk barafu Fulaini akifika darajani anakumbana na maspider...kila kona akiweka uso tu miguu ishafika...

Chezea Mourinho wewe wakati huu kombe linanukia alafu ulete kiwingu mbele Yake!?
 
hii hii ya kiboko ya vigogo

LFC nayo ni kiboko? Spurs? Na city iliyojifia? Njooni mjipime kwa kwa timu bora Chelsea chini ya kocha bora José Mourinho, LvG anamfahamu vzr sn huyu Happy One!
 
Mourinho ni kocha wa kawaida sana! Yaani afadhali hata Steve Bruce
 
Spurs alikunyoa ngapi vile?
 
Msimu huu umemfunga City?
 
Mourinho ni kocha wa kawaida sana! Yaani afadhali hata Steve Bruce

Nenda ukaseme hayo maneno mbele ya LvG na Giggs kwamba Mou ni kocha Wa kawaida sn..wakikukubalia tu ndio basi nyie mabingwa msimu huu!
 
Spurs alikunyoa ngapi vile?

Tumekutana na spurs Mara tatu ktk msimu huu.

Kwa EPL tuko sawa ktk kunyoana...au hapa hautoelewa mpk nikufafanulie?
Na Mara ya tatu nimemnyoa goli mbili na kombe nikabeba!
 
sihitaji kombe la mbuzi, nataka epl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…