Man City kuifunga Man U ni mpaka refa atoe msaada wa kadi nyekundu au itokee kama leo mchezaji mmoja yuko nje kwa matibabu ndio watumie nafasi hiyo kuifunga Man United. Kinyume chake ni vigumu mno kwa Man city kuifunga Man U ila Man U huifunga Man City ikiwa kamili kama leo.
Ulianza kushabikia Spurs,uka hamia Liverpool, leo ulikuwa ulikuwa Man City. Tuambie umehama Arsenal?
Naomba sana tarehe 18 ifike haraka ili tuweke rekodi sawa kuhusu namna ya kuheshimiana mtaani
Nipo serious mkuu
Hahaa umeonae,? Anatukana mamba...
Yale magoli ya kuotea?
Duuu man kama alshababu vileeee....
Jiwe walilolikataa waashi..... MATA&FELLAIN For sure limekuwa jiwe kuu la pembeni!
Ya kwenu ya kuotea yapo wap?
Manchester United fans singing "Sacked in the morning, you're getting sacked in the morning" to Manuel Pellegrini.
United inarudi katika system yake