Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Msimu wa nne huu tunakuwa written off mwanzoni mwa ligi.Hao watoto mnao wadharau ndio waliowafunga Chelsea 3-1.
 
Msimu wa nne huu tunakuwa written off mwanzoni mwa ligi.Hao watoto mnao wadharau ndio waliowafunga Chelsea 3-1.
Ni kweli ni kawaida ya man utd ila kwa msimu huu huyu kibwengo naona kaanza kuwa juu mapema pale na clean sheet kuja kumtoa kunahitajika mshikamano wa timu vinginevyo anaweza fanya mambo ya ajabu !!
 
Hii habari nzuri sana,

...hodi humu ndani, mbona mme 'myuti' sana?
Najiandaa hapa na vuvuzela langu.
Hatumwi mtoto dukani hapa mpaka kieleweke...!
 
Haya wakuu naona wenye timu zao wamejificha mie nimeamua kuweka jukwaa kama kawaida yetu mechi kubwa tunazizungumzia huku zinaendelea.
 
Haya wakuu naona wenye timu zao wamejificha mie nimeamua kuweka jukwaa kama kawaida yetu mechi kubwa tunazizungumzia huku zinaendelea.
Hawawezisema lolote, wanapumulia ndani kwa ndani si unajua wanavyoogopana?
 
Naona Manure wamewabana sn "lusaful". wenyewe wanajinasibu kuwapiga 6-0!!! Ila sijaona bado km watazipata
 
i hope liverpool watachangamsha game kipindi cha pili kwa kushambulia nawao manake jamaa wamezima rada kinoma.
 
Mechi inaboa hii, huyo refa naye anaogopa kutoa maamuzi makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…