Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata mie nimemsamehe maana nikisema yangu naweza kabisa nikanuniwa lol! ila sina huruma na mtu katika mechi zangu zilizobaki na timu sasa karibu yote wako safi ukiondoa wachache ambao labda hawatakuwa tayari kutia jezi labda mpaka wiki ya pili ya April. Ni kupiga watu magoli tu kuanzia wiki ijayo hadi mchezo wa mwisho.

Hahahaaaaa nimekusamehe lol. Lkn najua na wewe unautaka ubingwa kwa sasa ingawa halisemwi hilo hadharani ndio maana unamfariji kaka yako.
 
Hahahahahaha lol! eti kuutafuta mpira kwa tochi 🙂🙂 haya Mkuu ila jiandae kwa maumivu makali sana wiki ijayo. Mie, Ntuzu na dada yako everlenk tumeandaa gunia sita za pole angalau usitukimbie hapa jamvini.

Ww uliokolewa na refa baada ya Cahil kuusukuma mpira kwa mkono uliokuwa unaelekea wavuni

Cahil alistahili kadi nyekundu na penalty!Usiwe mwepesi sana wa kusahau
BAK pale Anfield aliutafuta mpira kwa tochi
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa ukitaka usiboreke ingia Jf. Utafurahi sn......safi sn kaka.

Kwendraaaaaaaaa!!!! Umefurahi kwasababu ametajwa Costa na Fabregas, huyu Kaka yangu Malafyale legend wake ni Mata tu, akimkumbuka jinsi alivyomtoa nishai hana hamu, lolz
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Safari ni Safari kwa kumbukumbu nzuri sana, enzi hizo unatazama mpira kwa raha zote bila wasiwasi wowote hata kubet na mtu 1M huoni shida kabisa........
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha lol! eti kuutafuta mpira kwa tochi 🙂🙂 haya Mkuu ila jiandae kwa maumivu makali sana wiki ijayo. Mie, Ntuzu na dada yako everlenk tumeandaa gunia sita za pole angalau usitukimbie hapa jamvini.

Hahahaha!!! Tutamfanyia na function kabisa ya kumpa pole........
 
Last edited by a moderator:

Kazi kweli kweli

Hii kitu sio kama Mkuu RRONDO kajitungia mwenyewe... hii niliona kuna siku za karibuni wanaizungumzia kwenye telly

Ingawa haina maana yeyote {kama kuna kombe au kushuka daraja} ila inaelezea hali halisi iliyoko, katika hizo timu zilizotajwa hapo kwa mechi zilizocheza zenyewe kwa zenyewe table yake inakuwa hivyo.

Hizi international games zinaharibu sana mambo, weekend hii ilikuwa tumfanyie kitu mbaya sana Aston Villa ila poa ataingia kwenye 18 week ijayo

Huna haja ya kum tag Pazi .... huyu jamaa baada ya yule jogoo aneyeumwa mdondo kuliwa na manyoya yale pale bandani kwake Anfield, jamaa anapatikana insta tuu ana post/support Cricket siku hizi {Mata mbaya sana kamfanya kijana abadilishe fani}
 
LOL!!! Hii tafrija inaweza kumsaidia afarijike haraka na kusahau maumivu makali ya kipigo. Muulize tumuandalie kinywaji gani. 🙂🙂

MMOJA

Hahahaha!!! Tutakaa kama kamati, shughuli yote unayo wewe pale Emirates kwahiyo usituangushe otherwise kibao kitakugeukia shughuli itakuwa kwako, nimeshawapa njia ya kula majogoo kazi kwenu kuyala tu.....
 
Reactions: BAK
LoL! Kama kibao kikigeuka na sisi kupewa kichapo cha mbwa mwizi, nitasepa jamvini kama miezi miwili 🙂🙂 nikirudi msimu wa EPL umeisha na kelele za #wasagasumu na #mburukenge pia zimeisha 🙂🙂

Ahh!! Usikimbie bana haki ya nani ntakonda mwenzio kwa mawazo!! Ngoja tu nikuombee heri ikishindikana hata kadraw tu,lol
 
LOL! Kuna yule msagasumu nambari one humu acha! Anaitwa Nzi anajua kuandika mambo ya kuudhi sana 🙂🙂

Ahh!! Usikimbie bana haki ya nani ntakonda mwenzio kwa mawazo!! Ngoja tu nikuombee heri ikishindikana hata kadraw tu,lol
 
Last edited by a moderator:
LOL! Kuna yule msagasumu nambari one humu acha! Anaitwa Nzi anajua kuandika mambo ya kuudhi sana 🙂🙂

Hahahaha!! Hao ndo wanafanya jukwaa linoge si unamuona hapo juu rubaman anavyotukejeli, kaka yangu Malafyale haachi pamoja na kipigo juu, hivi wa Chelsea ni nani vile ngoja nimchunguze,ila Ntuzu kule LFC anawasumbua sana ngoja majogoo yamcharukie atakoma mbona!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Majuto huwa ni mjukuu na nimehisi tukimuachia Falcao mwisho wa msimu huu itakuwa ni hasara kwetu, waweza kunikosoa ila uono wangu upo hivyo.....
Pale OT mpaka sasa mnyama huyu hajaanza kuunguruma japo anajitahidi sana kuturidhisha mashabiki na uongozi mzima wa club kwa kujituma kwake ila performance yake hii leo kwenye timu ya taifa imenifanya nisielewe kwanini hang'ari ndani ya jezi zetu....!!
*****
FT. Bahrain 0 - 6 Colombia
(Falcao akitikisa nyavu mara mbili)
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1427402714.062141.jpg
    8.7 KB · Views: 74

Falcao Score 2 and Assist the other... A great Striker will always be a great Striker.. Falcao Needs time in Manchester United
 
Kufunga magoli katika timu ya Taifa huwa haielezei mengi juu ya mchezaji. Bendtner, Podolski, Forlan wana rekodi nzuri katika timu zao za taifa tatizo lao linakuja katika vilabu/ligi. Simaanishi kuwa Falcao hatoweza kurudi kama kabla ya kuumia. Tatizo lingine umri unamtupa mkono.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…