Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
So far so fantastic....just few hitches...kazi ni namna ya kuapporach 2nd half..subs za kufanya..maana Loserfools watakuja na kasi zaidi kipindi cha pili....mtihani leo kwa LvG....
Ila ningekuwa mimi, ningemtoa Mata na kumuingiza Di Maria ili Emre na Ssoko wawe busy pande zote...ningemtoa Rooney dakika za 70 na kumuingiza Falcao, kama bado matokeo yatakuwa 1-0...kisha Fellaini na Falcao ndiyo wakawa wapo mbele..huku Carrick na Herrera wakizidi kumiliki pale kati....