Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nzi DonDonald mfarisayo Belo kitwala everlenk mngependelea Di Maria arudishwe kwenye starting 11?! Au LVG apange kikosi kile kile kilichowavuruga Spurs?!! Di Maria kamaliza ban take.

Kwa experience yangu nimegundua man u ya msimu huu huwa inapatat matokeo na hata kucheza vizur pindi wanapochezeshwa kwa pamoja rooney,mata,herera na dimaria huku holding midfielder akiwa blind,ningependa kuwaona wote hawa wakicheza.
 
Last edited by a moderator:
Kwa uwezo wa Mola jumapili ya leo itakuwa nzuri kwa wapenzi na mashabiki wote wa Man Utd Dunia nzima na haswa tuliopo hapa Jamiiforums.

Mungu ibariki Man Utd

Mungu tubariki JF Man Utd family

Wandugu wakati wa mechi tujitahidi tuwepo hapa kwa wingi ili kukabiliana na wale #WakaangaSumu wote wanaojiandaa kuja kutuombea mabaya
 
Sitaki kuamini kama leo majogoo mtapoteza nafac adhimu ya kucheza UCL. Eti Malafyale kweli mtakubali kuiacha hii nafac?
 
Last edited by a moderator:

Kwa mchakamchaka tutakao wakimbiza wale mitetea amini wachunguliaji wote watafyata mikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…