Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ARSENAL ATACHEZA ROBO FAINALI NA BARCELONA KATIKA UEFA CHAMPIONS LEAGUE BAADA YA KUITOA MONACO KWA AGGREGATE YA 5-3..


Kuendelea kupata miujiza kama hii.. Tuma neno MIUJIZA kwenda 15678..
Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Huyu ana mapenzi ya kweli na Gunners ingawaje hataki kukubali hivyo. Hii mechi ya leo kwake ni ngumu sana kuiangalia ndio sababu akasepa mapema. Iko siku ataamua kuja hadharani na kusema yeye ana mapenzi makubwa na Gunners ila alirubuniwa na kuhamia MANU. 🙂🙂

CC: everlenk.


Kwani vingi na wewe BAK.....si unazidisha mara laki nane kwa bei ya Dar....

Yaaah, mkuu muda unayoyoma kweli bado dakika 30 tu hivi kipute kianze wapi mama mpenda kufagiliwa everlenk
 
Kondoo je? Na mbuzi je? Na kuku je? lol! Mwenye ng'ombe na hawa wengine wenye ngamia, kondoo, mbuzi, kuku na bata nani atapewa priority? lol! Wasukuma kwa ng'ombe! wasio na ng'ombe watapigwa kibuti kikali.

Hata ambao hawana ng'ombe zitabadilishwa kwa thamani ya pesa
 


everlenk ya kweli hayo anayosemay kaka BAK? Kweli wewe ni Gunners kimtindo?
 
Last edited by a moderator:
Okay guys see you after the first 45 minutes, mkimuona yule Nzi mwambieni acheze mbali na jukwaa letu asilete nuksi zake. Thanks a lot for you company. COYG!
 
Last edited by a moderator:
ARSENAL ATACHEZA ROBO FAINALI NA BARCELONA KATIKA UEFA CHAMPIONS LEAGUE BAADA YA KUITOA MONACO KWA AGGREGATE YA 5-3..


Kuendelea kupata miujiza kama hii.. Tuma neno MIUJIZA kwenda 15678..
Vigezo na masharti kuzingatiwa

Kuna watu mna roho ngumu sana
 
Goli la kwanza makosa ya beki namba 2

Goli la pili makosa ya beki namba 3

Hii timu bana dah
 

Jezi niliyonayo inasema "I hate all 19 teams but Arsenal" Nataka Liverpool waibebe nafasi ya 4 mkosekane UCL msimu wa pili mfululizo
 
Siku zote? Wakati kabla ya J2, katika last 5 games, United alikuwa hajamfunga Spurs!

Mkuu maneno na majigambo yetu hayana nguvu ya kubadili matokeo ya mechi ya jumapili, Tusubirie dk90 za mchezo jumapili!
Asante kwa kunikumbusha, last 5 games.
 
Jezi niliyonayo inasema "I hate all 19 teams but Arsenal" Nataka Liverpool waibebe nafasi ya 4 mkosekane UCL msimu wa pili mfululizo


Yaani ulichosema leo wewe ninakuunga mkono mia kwa mia

Kweli kabisa wacha Liverpool wachukue nafasi ya nne, maana nafasi ya nne haiwahusu Man Utd

Man Utd wasipomaliza wakwanza{ingawa ni ngumu mno} watamaliza wapili

Nani atamaliza watatu au wanne ilo halituhusu.

Kwanini nimesema tutamaliza at least wapili, aliyepo nafasi ya tatu atakuja Old Traford tutakula kichwa {kwahiyo tutakuwa juu yake} , aliyekuwepo nafasi ya pili sasa atakuja old traford tutakula kichwa {Kwahiyo tutakuwa juu yake}

BTW pole leo mmejipindua Wafaransa walikuwa wenu leo
 
DonDonald;

Nafasi ya nne wanayoiwaza hiyo waombee man city apiteasipopita basi hiyo nafasi ya nne wanayoitaka bado itakua imekula kwao
 
Last edited by a moderator:
Uliielewa lakini hiyo post? Niliongelea game ya J2 iliyopita kati ya Spurs na United...

Yes, nilikupata vizuri Mkuu, ndio maana nikasema "Asante kwa kunikumbusha" (Spurs vs United)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…