Asanteeee sana,upo best kitambo sana sijakuona ile mechi ya FA sikuona vicheko vyako humu.......lol
Yani kuna watu wana roho mbaya huwezi amini BAK ndio naamka sasa hivi na shukrani nyingi ziende kwa Ntuzu ndie aliyeniamsha usingizini.Yule aliyeahidi kunipitia kwenda kuangalia mechi hata kunibeep tu niamke ajafanya hivyo
Hivi mechi ni saa ngapi BAK?Ushindi nimeishauona wewe ondoa presha kushinda leo lazima.Nakusalimia jirani everlenk

Mchapo unaanza 22.45pm EAT unaonekana una usingizi wa kutosha. Hongera zako.
Aiseee usingizi nimebarikiwaga.Usijali lazima leo tumkalishe mtu
Ngoja tusubiri mie nishafuta vumbi luninga tayari kwa kuikodolea ili kuangalia nini kitakachojiri.
Mi nimeweka generator tayari maana tanesco wasije fanya yao lol......
Hahahahahahaha lol!!! Mie sitii neno dada na kaka wanapotaniana...lol! ulishapiga hesabu ya ng'ombe hahahaha msukuma wewe unapenda sana kutajirika haraka haraka ππ. Ngamia huchukui? lol!
Bora maana hawa nao hawakawii kuchukua umeme wao na kukuacha na donge la kufa mtu.
Mkuu weka neno bhana.....huyu dada yangu itabidi nimtumie ktk timu yetu kule mpk kombe lije darajani....lol.
Utajiri muhimu mkuu tena km wewe ving'ombe mia vilikua vinatosha sn....Ngamia sichukui mkuu hao maziwa yao mazito sn km uji lol.....
Hahahahahahaha lol!!! Mie sitii neno dada na kaka wanapotaniana...lol! ulishapiga hesabu ya ng'ombe hahahaha msukuma wewe unapenda sana kutajirika haraka haraka ππ. Ngamia huchukui? lol!
Hata ngamia tunapokea kama unataka kuleta jitokeze bado mapema uwekwe kwenye list.....π
lol! eti ving'ombe mia vinatosha ππ unajua ngombe mmoja kiasi gani Mkuu!? halafu zidisha mara 100. Dakika zinayoyoma soon kipute kitaanza rasmi.