Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Atapoteza bet mojawapo.Navyomjua huyu jamaa yakimzidiaga huwa anabadili topics juu kwa juu.Saints wakitumia chances vizuri wanaweza kushinda.Ila naona pumzi yao inakwisha jinsi dakika zinavyokimbia.
 
Reactions: Nzi
Kikosi cha Utd cha leo

Man Utd: De Gea, Valencia, Jones, Smalling, Blind, Carrick, Herrera, Mata, Fellaini, Young, Rooney -

Subs
: Lindegaard, Rafael, Blackett, A Pereira, Januzaj, Falcao, Wilson
 
Reactions: Nzi
Atapoteza bet mojawapo.Navyomjua huyu jamaa yakimzidiaga huwa anabadili topics juu kwa juu.Saints wakitumia chances vizuri wanaweza kushinda.Ila naona pumzi yao inakwisha jinsi dakika zinavyokimbia.

Southampton wakomaa kwenye dakika 10 hizi za mwisho

Hata draw kwao itakuwa poa tuu

Leo LVG asipomchezesha Falcao nitajua kuna tatizo kati yao
 
Reactions: Nzi
Hata mimi sielewi kwanini?

Mwishoni ataondoka.... kama sijakosea nimesikia sehemu dogo ameanza kulalamika

Rafael,Mata,Januzaj,De Gea,Evans future yao hailewiki msimu ujao wanaweza wasiwepo
 
Rafael,Mata,Januzaj,De Gea,Evans future yao hailewiki msimu ujao wanaweza wasiwepo

Kuwapoteza Rafael, Mata na De Gea itakuwa ni bongo la kosa, ila ninahisi wataendelea kuwepo msimu ujao

Huu mpira wa Chelsea hauishi tuu?
 
Sasa tusubiri game ya pili kuwaona Spurs wakifanya vitu vyao na kutishia kibarua cha LV Girl. everlenk pole sana nasikia mupenzi wa Chelsea aliyeanza kupata nafuu matokeo haya ya leo amekuwa hoi tena 🙂🙂 Kila la heri kwenye huu mchapo msiwadharau hawa Spurs au itakula kwenu. Enjoy the game.
 
Last edited by a moderator:

I'm sure kuna bets zinaendeana na niliyosema uliweka hapa ila unajua kuwa kuziperuzi kupata evidence ni kazi ngumu.Endapo pangekuwa na bookmark folders hapa ingekuwa vigumu kukana au kujidistance kama ulivyozowea.Nikiwa free nitazisaka evidence zote lol.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Nzi
Kuwapoteza Rafael, Mata na De Gea itakuwa ni bongo la kosa, ila ninahisi wataendelea kuwepo msimu ujao

Huu mpira wa Chelsea hauishi tuu?

De Gea lazima awachomoke tu...Real Madrid wanamtolea macho kinoma kama mrithi wa Casilas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…