mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 801
Jibu la hii ni kuwa Hart ni mzawa, Di Maria ni mgeni. Marefa, media huwa zinaonyesha favoritism kwa wachezaji wazawa. Hata wachezaji wazawa vs wazawa huwa ni mara chache kupandishiana kuliko wazawa vs wageni au wageni vs wageni. Chunguza utagundua hili.
CV yote hii kwasababu ya kutufunga tu, ungefungwa ungekuwa kimya!!!!
Mamito njoo kwetu tupige story tusubiri mpira usiku achana na hao wameshinda juzi imekua shida. Hawa ni wageni Wa ushindi.
Babito nilipita kimya kimya maana kila jukwaa story ni Manu tu........
Kwa LVG kimeshanuka kapewa mechi 5 kuchezesha karata zake vizuri akilamba garasa ni Out......
Mtani hizo game tano mtatoka kweli?
Akipanga kikosi vizuri kila mmoja akicheza position yake inayotakiwa tunatoka haswaaa..... Hakuna timu ya kutisha,.... Hata wewe mtani hunitishi ujue hahahaha!!!! Una hasira ya kurudisha bao 3 hahahaha.....!!!!!
Kwa LVG kimeshanuka kapewa mechi 5 kuchezesha karata zake vizuri akilamba garasa ni Out......
Habari za udaku hizo
Kwa LVG kimeshanuka kapewa mechi 5 kuchezesha karata zake vizuri akilamba garasa ni Out......
Haya tena Mkenya mwingine ajimaliza baada ya Manchester United kufungwa juzi. Hawa majirani watakuwa wana kaugonjwa fulani kama sio mapepo. Si Wapenzi wa Arsenal tu wanaohitaji dawa kama sio maombi.Bado wapenzi wa Chelsea, Liverpool,
Manchester United fan commits suicide after Arsenal loss
Cc Belo, Bulldog,DonDonald, Nzi, Malafyale,Mbu, BAK, Mndengereko, RRONDO,Wacha1,Pazi
Hizi habar ni za kwel?! Mbna sijakutana nazo, naomba source kama unazo
everlenk dada yangu nakuonea sana huruma kwa wewe kukosa raha kila weekends!
Fanya maamuzi mazito njoo ufurahi na MAJOGOO ambao sasa ni vicheko tu
Mm namfunga Swansea kiurahisi kabisa Jumatatu;ww utammfunga Tots leo?