Manchester United (Red Devils) | Special Thread


kilio changu hakiwezi kukupa wewe faraja
mla mla leo mla jana kaahakunya

Huyo di maria ameingia kikosi kibovu cha epl wiki mbili mfululizo ila hamumuiti garasa
hapa ndipo neno unafki linapochukua sura yake
Yule falcao analipwa hela nyingi kuliko mchezaji yeyote uingereza ila anavyofanya aibu naonaga mimi
flop giroud msimu uliopita hakuna mchezaji wako aliyemzidi magoli
naupenda sana mpira unakufanya uongee unachojisikia bila fact teh teh teh

kwa taarifa yako sasa UEFA mtaendelea kuangalia kwenye tv msimu ujao

 

hana utamaduni wa kwenda kusimama kwenye mstari,mwenyewe anakwambia maelekezo anayowapa changing room yanatosha huwez kumsimamia mchezaji kama mtoto mdogo
 
Kwani jana hakuwa na yale macounter book yake as if ni mwanafunzi wa a level pcb au pcm?
 
Akibadili falsafa yake..... falsafa yake inaua vipaji vya vijana cheki sometime Di Maria anavyotia huruma anaonekana si lolote,Falcao,Mata wanaonekana kama wachovu tu.....

Si ndo hapo ila all in all anayo nafasi ya kujirekebisha though yeye hatabiriki mchezaji anaweza kufanya vizur akamweka nje.
 
kitu kilichonishangaza zaidi ni kwamba wakati lvg na falcao wote wazima alikuwa anafanya kosa la kulazimisha kuwapanga wote matokeo yake rooney akawa anampanga kama wing au kama midle leo hii rvp mgonjwa nikajua itakuwa nafuu kwake hatoumiza kichwa coz ana selection moja tu matokeo yake anamweka sub na hamtumii. Yaani kila nikifikiria sipati kumwelewa point yake ni nini hasa
 

philosophy.....
 
MO11;

Bahati mbaya sisi hatujui mipasho, sasa soka likigeuka mipasho hiyo ni balaa!!! Ndo maana nimekwambia tuweke ushabiki pembeni tuzungumze soka kama soka,palipo haki kosoa na pongeza palipo sawa.

Mchezaji yoyote akishatoka katika timu yake husika akienda kwingine kwa timu ile aliyotoka always huonekana ni garasa tu hata kama ataendelea kuwa mzuri,ndo maana nikakujibu ni kawaida magarasa kuonyesha respect pindi wanapokutana na zile timu walizotoka kwahiyo no wonder kwa Welbeck kufunga ndo maana nikakukumbushia wewe juzi na Monaco.

Falcao na Di Maria wala si wachovu kihivyo Bali falsafa ya LVG inawauwa, na wangekutana na mwalimu nwenye falsafa inayoeleweka wale ni bunduki nzuri tu na wangefanya maajabu ambayo wengi tulitazamia.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…