Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Waintroduce pia adhabu ya kutema mate uwanjani wakati mechi inaendelea, maana kuba baadhi ya wachezaji wanatema mate kila baada ya sekunde chache utadhani wamefungwa bomba lililojaa mate midomoni mwao mpaka inakera.

cisse ni kosa lake la pili msimu huu, adhabu ya kutema mate ni mechi 6 plus 1 ya kurudia kosa kubwa. evans yeye ndo kosa la kwanza kala 6 kavu.

incase cisse akifanya kosa jengine kubwa adhabu inaongezeka zaidi kama surez vile
 
Jon Evans has been banned for six games as a punishment for spitting! I'm not gonna miss him at all!

Habari njema sana hii hasa kwa kipindi hichi ambacho tuna mechi za muhimu huyu jamaa mjinga sana asurudi hadi msimu uishe
 
Waintroduce pia adhabu ya kutema mate uwanjani wakati mechi inaendelea, maana kuba baadhi ya wachezaji wanatema mate kila baada ya sekunde chache utadhani wamefungwa bomba lililojaa mate midomoni mwao mpaka inakera.

I guess kuna nchi ambayo ni kosa la jinai kutema mate in public!
 
Nimeoteshwa Arsenal Monday night asubiri maumivu tu!

Hawa ni teja bila zengwe.
 
Yatayotokea leo uwanja wa taifa ndo yatatokea kesho jumatatu, endapo yanga atamfunga simba bac lazima man u afe kwa goons. Vice versa is true.
 
Yatayotokea leo uwanja wa taifa ndo yatatokea kesho jumatatu, endapo yanga atamfunga simba bac lazima man u afe kwa goons. Vice versa is true.

Weee shindwa, leo ni raha mpaka kesho na wiki nzima yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…