Majogoo yanaogopwa na kila team sasa!
March 22 Man of the Match atakuwa De Gea kwa kuwapunguzia magoli.Tutashinda kiurahisi kabisa
Mbona unaeeweseka mkuu? Wenzio tunafikiria game vs gunners Monday,then spurs next weekend! Hata hatufikirii hio game ya tar 22! One game at a time! Hulali unaifikiria man utd?!!
Hata ww unajua sasa kama Anfield utaelekezwa kibra ndiyo maana hutaki hata kuielezea game hii
Kweli Man U ni chungu kwenu, game zooote huzioni umeona ya Man U tu?
Au hizo zingine zote hamchez Anfield?
Nitafurahi sana kama hadi league inaisha man u hampo big four. na ninavyoona itakuwa hivyo game ya spurs. arsenal, chelsea, evertone na liverpl zitawapunguzia point na kusababisha liver na arsenal kuwa juu yenu. Sina shaka na manc mtamfunga .
Nani kapona Anfield recently?Aje Man U aje WHU aje Man City wote wana angalia kibra Anfield
Ni kweli, mkuu umepotea sana hapa jukwaani, tunakumiss sana.... Usipotee hivyo huu ndo wakati mwanana wa kushikamana pamoja.
Nitafurahi sana kama hadi league inaisha man u hampo big four. na ninavyoona itakuwa hivyo game ya spurs. arsenal, chelsea, evertone na liverpl zitawapunguzia point na kusababisha liver na arsenal kuwa juu yenu. Sina shaka na manc mtamfunga .
Nani kapona Anfield recently?Aje Man U aje WHU aje Man City wote wana angalia kibra Anfield
By the way toka muanze leagu misheni yenu ilikuwa ni ipi? Top 4? Ubingwa?
HahahhaaWorry not
Tulikuwa wa 15 November sasa wa 5 na kabla ya March tutakuwa wa 3 na kabla ya May mbio za ubingwa
Mhh!! RRONDO kwahiyo wewe Evans hakugusi kabisa?? Halafu mbona Cisse kapewa ban ya mechi 7 ?
Legend Thierry Henry anaandaliwa rasmi kuchukua mikoba ya Babu, na kelele kama zitazidi basi anaweza kabisa kukabidhiwa mikoba hiyo mapema kuliko inavyotarajiwa. I am sick and tired of babu, he has achieved a lot, but IMO it is time for him to go.
cisse ni kosa lake la pili msimu huu, adhabu ya kutema mate ni mechi 6 plus 1 ya kurudia kosa kubwa. evans yeye ndo kosa la kwanza kala 6 kavu.
incase cisse akifanya kosa jengine kubwa adhabu inaongezeka zaidi kama surez vile
ni furaha yangu kumwona Henry pale Emirates kama manager
Babu hatoki Emirates ana hisa za kutosha pale mpaka achoke kushiba faida.....
ili mradi tunaishi tuombe Mungu. mei si mbali mkuu ila man kuingia big four ni ngumu kama ilivyo ngumu kupata damu toka kwenye mwamba.Pamoja na hicho kiwango kibovu Arsenal,Liverpool,Chelsea,Spurs,Everton hawajatufunga msimu huu