Yeah, angalia investment history yao ilivyokuwa (Mark Hughes to Mancini-City na Ranieri to Mourinho-Chelsea)Nyie mmeinvest mainly kurudi ECL kuokoa jina na pesa mnazozikosa kwa kutoshiriki(Granted Man Utd ni top 2 rich Club kulinganisha na Chelsea & City) na bado mnaweweseka.
pole sana jirani angu..
Aiseeee!!! Kumbe!!! Hata mtoto mdogo asiyejua soka hawezi fikiri hili......
hahahahaha hamjambo humu long ball kumbe zimebuma
Kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wewe paka rangi uwezavyo ila jua next mwenye nafasi yake anakuja kuichukua,wiki hii uwanja ni wako,ai mimi huyo wa kununa.... ah wapi!! Siku utakayonifunga ujue ndo nitanuna.
Hamna msiba hapa bwana tulikuwa maabara kidogo tukiangalia ile system kama ina fit,hii imeshatupa jibu kwamba haifiti,Lol
rubaman nafahamu wewe ni mshabiki wa Arsenal na unaichukia Man United kwa sababu gani na wala sio kwa kufungwa leo na Swansie maana hata Arsenal alichezea kichapo kama hicho mwezi Disemba tu mwaka jana.Tofauti kati ya LVG na Man City na Chelsea ni kuwa wenzake walitumia pesa nyingi kugombania ubingwa yeye anatumia pesa nyingi kurudi ECL ambayo na yenyewe hadi sasa kuna uwezekano Man United wakaikosa. Arsenal tulijiwekea lengo(baada ya kujenga Emirates) la kuwa ndani ya ECL huku tukinunua magarasa, kitu ambacho tuliweza kukifanya. Hivi sasa tuna uwezo wa kununua wachezaji wa bei mbaya (kidogokidogo) tunarudi juu na maybe tutagombania ubingwa miaka michache ijayo.
rubaman nafahamu wewe ni mshabiki wa Arsenal na unaichukia Man United kwa sababu gani na wala sio kwa kufungwa leo na Swansie maana hata Arsenal alichezea kichapo kama hicho mwezi Disemba tu mwaka jana.
Mkifika hapo mtuite tuongee sa hv kazaneni kwanza kuna wana chelsea apo idad ya makombe yao hata nusu yetu haigik ila leo wanabonga kibabe. Aseno goli moja penat umepewa goli jingine offside bado unapayuka. Sieeeeelwiiii
Come on Saints. Sawazisheni mrudi top 4
Cc Nzi