Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah! Watu wanavyomwaga shudu humu....bahati yenu leo sina nguvu, nimekuwa mdogo kama piriton..hivyo mwageni tu shudu ili jukwaa lisitawi.

Mkuu nilisema humu jamvini kuwa, ukitaka kuwatafuta man u wa ukweli nenda kwenye jumba la makumbusho(historia), siyo kwenye uwanja wa leo wa kandanda. Nawashauri ingieni mtandaoni mjiriwaze na enzi za1998/99! Hapo kipigo mtakisahau, fanyeni hivyo kila weekend, vinginevyo mtapotea jamvini!
 
Dah! Watu wanavyomwaga shudu humu....bahati yenu leo sina nguvu, nimekuwa mdogo kama piriton..hivyo mwageni tu shudu ili jukwaa lisitawi.

Achana nao,mti wenye matunda ndo unaopigwa,huwa wanasubiri tushindwe ndo waje kwa wing,walikuwa wanatafuta chansi kama ya leo haikupatikana muda mrefu,yaani leo tutachambuliwa kama karanga....life goes on....we will make it next,VIVA FOREVER THE UNITED
 
Reactions: Nzi
My goodness me! Ebu nitajie hao mliowapandisha toka reserve na kufanikiwa!!

United toka miaka ya 1930 hadi kesho, imekuwa ikitumia wachezaji kutoka kwenye youth system katika kila mechi. Hii ni rekodi ya United tu.

Current, Szszseny, Coq, Bellarin, Gibbs, Zelalem, Martinez, Wilshire, Gnabry, Akpom, Sanogo. Nilitee waliopandishwa toka reserve yenu miaka 5 iliyopita hadi sasa (current members). Usilete class of 92
 
Dah! Watu wanavyomwaga shudu humu....bahati yenu leo sina nguvu, nimekuwa mdogo kama piriton..hivyo mwageni tu shudu ili jukwaa lisitawi.

£150 Millions invested in Sewage industry
 
My goodness me! Ebu nitajie hao mliowapandisha toka reserve na kufanikiwa!!

United toka miaka ya 1930 hadi kesho, imekuwa ikitumia wachezaji kutoka kwenye youth system katika kila mechi. Hii ni rekodi ya United tu.

Bonny-less Swansea anakufunga?Mkuu hauna team kwa kweli
 
duh! Philosophy wewe waijua? Ngoja tuendelee kuiona hii philosophy,huyu LVG Ameanza kuwa kama babu leo anatengeneza kesho anaharibu....lol,naona mnatusema tumekimbia jukwaa hatujakimbia bwana 8 MB kwa leo zinatutesa sana ngoja kesho tutaweka 200 MB Halafu tutajadili soka la leo.....Lol!! mmetuandama kama nini utafikiri si ndo wa kwanza kufungwa,embu tuacheni tupumzike kwanza.
 
Come on Judas hujaumia weye ... .....
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Khe Khe Kheeeeeeee kheeeeeeeeee naona unakaribia kununa sasa lol!!!!! Ngoja nisepe zangu kabla ya kukutana na everlenk aliyenuna lol! Hahahahaha nitajuta kukufahamu 🙂🙂 usiku mwema na njozi tamu za kuibamiza Sunderland 6-0 Khe kheeeeeeeeeeeeee

Last edited by a moderator:
Khe kheeeeeeee vijimambo vya Swansea vinakera kweli naona mmeamua kurudi msibani lol!!! Poleni.

Hapa ni Kwema kabisa kaka yangu,ni vijimambo tu vinakera kwelikwel lakini tunasonga mbele
 
Current, Szszseny, Coq, Bellarin, Gibbs, Zelalem, Martinez, Wilshire, Gnabry, Akpom, Sanogo. Nilitee waliopandishwa toka reserve yenu miaka 5 iliyopita hadi sasa (current members). Usilete class of 92

Sanogo kumbe alipandishwa kutoka Youth system ya Goons?!? Na Zelalem aliyekaa kwenye youth system kwa mmoja; huku akikaa miaka 10 kwenye vilabu vingine unamwesabu?

Anyway, mimi nilitaka wachezaji waliofanikiwa! Sasa mbona hapo umeweka magalasa tu?!? Labda Gibbs kidogo naweza kumweka kwenye benchi la Fantasy team yangu...

Jipange tena...
 
Una uhakika Man City na Chelsea zilipoanza kutumia hela nyingi zilikuwa na lengo la kugombania ubigwa??

Yeah, angalia investment history yao ilivyokuwa (Mark Hughes to Mancini-City na Ranieri to Mourinho-Chelsea)Nyie mmeinvest mainly kurudi ECL kuokoa jina na pesa mnazozikosa kwa kutoshiriki(Granted Man Utd ni top 2 rich Club kulinganisha na Chelsea & City) na bado mnaweweseka.
 
Hilo ndo tatizo lako. Ukiletewa facts unazi discredit kwa mtazamo tofauti na topic. Nimekuletea Wachezaji waliokuwa Promoted toka youth system bila kujali kama ni Nyota, first eleven au ni Squad players. Kama ukitaka kudiscredit,discredit by topic inayoongelewa. Ndio Sanogo alinunuliwa kama Reserve player(team)kama vile Fabregas nk.Zelalem alijiunga 2013 akiwa 16 yrs old, alikuwa hajasaini professional contract na timu nyingine kabla ya Arsenal.
 
Kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wewe paka rangi uwezavyo ila jua next mwenye nafasi yake anakuja kuichukua,wiki hii uwanja ni wako,ai mimi huyo wa kununa.... ah wapi!! Siku utakayonifunga ujue ndo nitanuna.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…