Sylvain Wiltord alipigaga msumali kwenye jeneza lenu pale pale OT, kwa lugha nyingine tulikuwa tunatakiwa kupata point kadhaa kuwa mabingwa, tulichofanya tulienda tukautangazia OT kwa max point.
Usije ukakimbia siku hiyo tuu
Mkuu nilikuwa nakuweka katika top tier ya wanaojua na waliofuatilia EPL kwa muda mrefu. Hili swali linaonyesha umeingia dimbani baada ya kuanzishwa kwa Facebook. Tulibeba kombe la EPL baada ya kuwatungua goli 1-0 mfungaji Sylvan Wiltord mwaka 2001-02. Acha kusoma na kuamini gazeti la Sun, Daily Mail
Refa kashaanza kuvurunda. Rooney ali-block the line of sight ya GK. Shouldn't stood.
Dakika ya 59 Ashley Young anaingia, Falcao anatoka.
Weka hiyo sheria ya FIFA hapa Goon!
Mchezaji kama hajagusa mpira hata kama yupo offside position, hakuna foul hapo goon!
Hakuna kipengele kinachosema juu ya kumblock kipa katika sheria ya offside.