long ball utd kawaida yenu kocha wenu mwenyewe chizi tangu lini striker namba 9 akawa DM kumbe na mashabiki wake wapo hivyo hivyo
Acha fiksi wewe Loserfool....kabla ya 1992, Uingereza kulikuwa hakuna Ligi Kuu (Premier League). Kulikuwa na ligi katika madaraja mbalimbali: la kwanza, pili, tatu na kuendelea. Mwaka 1992 ndipo baadhi ya vigogo wa soka Uingereza katika ngazi ya vilabu na FA wakakubaliana kuanzisha LIGI KUU, na kuzipandisha madaraja ligi za chini: yaani ligi iliyokuwa daraja la pili, ikawa ligi daraja la kwanza (Championship League ya sasa).
Hivyo basi, kimsingi Loseefools haijawahi kushinda LIGI KUU (Premier League); ina makombe yake 18 ya Ligi Daraja la Kwanza tu.
Fiksi au umbumbumbu?
Majority ya mashabiki wa EPL hawajui tofauti ya Premier League Vs the old First Division, ndio maana wanatoa kauli za kitoto kama hizo.
long ball utd kawaida yenu kocha wenu mwenyewe chizi tangu lini striker namba 9 akawa DM kumbe na mashabiki wake wapo hivyo hivyo
Halafu wewe ndio unauliza watu we man utd wanafuata mini kwenye thread 'yenu' na wewe unatafuta nini huku? Wewe sio MTU wa Moira ni shabiki mandazi
hahah baada ya kuona hawa long ball utd wanakuja sana kwenye thread yetu kutupondea nimeamua ku pay back
You use the 'long ball' phrase as it is something bad....but, it isn't chap.
hahah baada ya kuona hawa long ball utd wanakuja sana kwenye thread yetu kutupondea nimeamua ku pay back
vikosi vipoje jamani leo
Nimependa list ya leo hasa kwenye kiungo
Angalia usije ukasema LVG kaharibu.
Angalia usije ukasema LVG kaharibu.
Mlilia wembe, sasa mmeupata...
Karibuni OT kwa kichapo...