everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Kumbe nyie afadhali!Chelsea katepeta tayari FA cup
Vipi nawe kaka nilifikiri wewe kidume ungetoka na point 3 na timu za mchangani? Kweli mpira hautabiriki ni dakika 90.
Kumbe nyie afadhali!Chelsea katepeta tayari FA cup
Mtaelewa tu Van Gaffe kazi imemshinda ...... ....... .... money is not everything, na bado anahitaji mpunga mwingine anunue mastaa kama Maria et al .... nicheke mie khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
BAK nakuona .......,vipi mechi za leo umeziona?.....kesho umejiandaaje kama bingwa mtetezi?
Kumbe mechi za mchangani juzi wezi weye lol!!! Hahahahaha oh! Mchanga ulikuwa mwingi sana au kuweka majonjo nilikuwa siwezi 🙂🙂 mbona wenzenu walikipiga uwanja huo huo? Njoo uburudike kwa raha zako unajua sisi tunavyocheza soka linalopendeza machoni 🙂🙂 hadi raha.
CC: Honey Faith usikose kwenye mchapo
Hivi players hawataki kuja au Club ndo haitaki kununua?
Hivi players hawataki kuja au Club ndo haitaki kununua?
si kweli ila man u wanataka kumungezea mkataba pia kumfanya kipa anaelipwa zaidi england 05140000!kwa sasa joe hart ndo no 1 05120000!