"Judging by the reaction of the Cambridge United players and fans after the final whistle it was clear they were only trying to force a replay so that they can get a chance to visit Old Trafford.... then some Man United hating people like Wacha1 n fellows say we're finished while some are dying to play us.
Duh afadhali umemwambia huyu mkaanga sumu.
RRONDO haina haja ya kutukimbia wageni hapa jukwaani!Hilo ni soka na tukubali hali halisi
Cha kufanya ni kupiga moyo konde kufuta machozi na usonge mbele
Hata na Cambridge LOL?
Duu majirani mnasubiri nini sasa..
we vipi kwako kwema? draw na kuchapwa mbili kavu kipi afadhali?
Kumbe nyie afadhali!Chelsea katepeta tayari FA cup
Kuna haja pia ya kutafuta striker mwinger kwa sasa
Kuna haja pia ya kutafuta striker mwinger kwa sasa
Kabisa mkuu. Strikers tulionao naona kama wanakosa ubunifu inapotokea timu ikapaki bus. Nimeona kwa Southampton, Spurs na jana kwa wale watoto.
Kweli kuna umuhimu wa kuwa na striker anayevunja bus hata angalau mara nne kwa mechi moja. Halafu Falcao anakosa sana mabao, hii inatuangusha sana.
Ova
Inasikitisha kuona timu inamiliki mpira kwa asilimia 75 mwanzo hadi mwisho wa mchezo inashindwa kupata goli
Kumbe nyie afadhali!Chelsea katepeta tayari FA cup